Wakuu msaada kwenye tuta: PC yangu inanyonya sana MB nini tatizo ?

software zinaji aoto download... tena zinakula gb za hatari, mimi ili nijiokoe kwenye setting naweka ON POWER SAVER. maana hyo mode inazuia aouto update, ukishafanya hvyo ndo u connect mtandao sasa. ila kama unatumia pc huku unaichaji hyo power saver haifany kaz kwahyo zitaendelea kuliwa
 
Fuata hizi hatua kuzima kabisa windows updates ili MB zako zisiliwe hivyo,
Click window then X
Run
Andika services.msc
List itakayokuja gusa yoyote halafu W
Tafuta Windows Updates
Right click halafu properties
Kwenye updtes utakuta manual au enabled , bonyeza hapo halafu chagua
Disabled
Maliza kwa Ok then Apply

Restart PC

Itakuwa fresh

Ikifeli hiyo ipo njia nyingine
 
KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta.

Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu.

Nawsasilisa swali
Mkuu
Nasoma kama ilivyoandikwa.

"Si busara kutumia internet kwenye pc iwapo kama una kifurushi chenye ukomo wa MBs"

Naendelea msatar unaofuata.

"Mtu awayeyeyote anayefanya installation ya operating system kweny pc yake kwa janja janja hakika mb zake zitatafunwa kwa kisingizio cha software updates"

Ukiendelea zaidi kweny mstari unqofuata kwa muda wako utagundua kuwa application nyingi ni zakulipiwa mkuu.
Consequence yakutolipia ni kama hiyo yakutafuniwa MBs.

Mkuu
Ushauri wangu.
Epuka software ambayo hayanaga maana zaidi ya kukupotezea muda na kukufanya utumie hela kuyaupdate
Mfano:
Antivirus

Binafsi huwa nawaangaliaga sana waumini wa antivirus huwa siwapatii majibu.

Windows defender security is more than enough to protect your system.
 
Fuata hizi hatua kuzima kabisa windows updates ili MB zako zisiliwe hivyo,
Click window then X
Run
Andika services.msc
List itakayokuja gusa yoyote halafu W
Tafuta Windows Updates
Right click halafu properties
Kwenye updtes utakuta manual au enabled , bonyeza hapo halafu chagua
Disabled
Maliza kwa Ok then Apply

Restart PC

Itakuwa fresh

Ikifeli hiyo ipo njia nyingine
Hiyo ni tempo solution maana PC iki restart itarudia mchezo ule ule.

Hiyo option kwangu haikuweza kuwa msaada na niliifanya kwa PC tatu tofauti.

Njia pekee ambayo ilionekana kuwa hopefully ni kuiset wifi katika metered connection

Metered connection ni njia ya utunzaji data kwa kuzuia baadhi ya apps zisiweze kupata access ya internet, na windows updates ikiwemo.

NB: huyu mtoa mada ni Gongowazi, leo tunampa msaada kunusuru vi MB vyake afu baadae anakuja kutuletea shombo kwenye jukwaa la sports.
 
kumbe na wewe ni mwana hiphop nimesitika sana mtu uansikiliza hiphop halafu unakuwa shabiki wa makolo

oya huyo kinya wa mistari nilimskiliza kwenye dakika kumi za maangamizi mwana anajua kuandika sana aise
 
Sasa ulijua mi namsimiliza zuchu??

Afu kuna mstari hapo kumhusu zuchu wenu.

"Pita na yako usitoe macho hayakuhusu", "huyo baunsa wako kwenye chochoro ni zuchu..."

Kinya Mistari
 
Set your network as metered..

This prevents most Windows services from causing unnecessary data usage

Steps:-

To set a Wi-Fi network connection as metered in Windows, you can do the following:
  1. Select Start > Settings > Network & Internet > Wi-Fi > Manage known networks
  2. Select the Wi-Fi network > Properties > turn on Set as metered connection
 
safi sana mdogo wang nilijua hiphop naisikiliza mimi tu
 
mkuu umetisha sana na ubarikiwe katika shughuli zako za kubeti
 
KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta.

Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna setting nimejichanganya nisaifieni wakuu.

Nawsasilisa swali
Itakuwa ni window ina-update. Itabidi ukasimamishe zoezi la kupokea update na ku-install yenyewe na uruhusu kwa wakati utakao.

Lakini, hizi update za window nazo ni muhimu sana kwani huboresha utendaji wa computer na softwares zake kwa ujumla.

Ndiyo maana kwa utendaji wa sasa ni vizuri kutumia huduma za internet ambazo ni unlimited ili uwe huru kwa hizi update.

Ova
 
shkurani sana mkuu nimejifunza kitu
 
Back
Top Bottom