Duh

Wameshtakiwa leo Jumapili?!

Ikumbukwe mambo haya ya Uhaini huambatana na Njaa na Dhiki Kuu, si dalili njema

Nilikuwa Katumba Bar Kinondoni mkwajuni Wakati Tamimu alipofanya Uhaini 1980s, si jambo la kuombea kwa kweli
Acha unafiki, furahia maana mmepata mnachokitaka ingawa lengo hapa si kuwapata na hatia bali ni kuwatisha na kutisha wengine.

Hata hivyo, kwa tuhuma hizi, watu wataishiwa uvumilivu na wengi watakuwa tayari kuungananao hata kama na wao watashitakiwa kwa makosa hayo hayo ya uhaini.
 
Nenda kawatete mahakamani unafikili police niwajinga waliwaacha mda mrefu wakajisahau na matamshi yao yenye utata. Walikuwa na nia nzuri ila strategy yao haikuwa nzuri kwa afya ya umoja wetu wa kitaifa. Pakitokea civil unrest tutaenda wapi watu wako frustrated na maisha hawajui babdari wala nini kitakachotokea ni looting na uharifu mwingine. Hawa jamaa walijiamini sana mpaka kukosa hekima kwenye matamshi yao.
Mpumbavu mkubwa wewe,huna hata hoja unaropoka ujinga uliojaliwa
 
Acha unafiki, furahia maana mmepata mnachokitaka ingawa lengo hapa si kuwapata na hatia bali ni kuwatisha na kutisha wengine.

Hata hivyo, kwa tuhuma hizi, watu wataishiwa uvumilivu na wengi watakuwa tayari kuungananao hata kama na wao watashitakiwa kwa makosa hayo hayo ya uhaini.
Halafu uachage ubwege na ujinga utaungana na Mdude na haka la ID fake?!!
 
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Asante mungu, wahukumiwe kunyongwa mpaka kufa kwa sababu ni wahaini kabisa. Yaani hakika haki itendeke kwao ili liwe fundisho
 
Nenda kawatete mahakamani unafikili police niwajinga waliwaacha mda mrefu wakajisahau na matamshi yao yenye utata. Walikuwa na nia nzuri ila strategy yao haikuwa nzuri kwa afya ya umoja wetu wa kitaifa. Pakitokea civil unrest tutaenda wapi watu wako frustrated na maisha hawajui babdari wala nini kitakachotokea ni looting na uharifu mwingine. Hawa jamaa walijiamini sana mpaka kukosa hekima kwenye matamshi yao.
Mananga kama wewe ni wa kusamehe kwa sababu kichwani hamna kitu. Civil unrest inatokeaje wakati mama anaupiga mwingi na tayari tuko kwenye uchumi wa kati? Itatokeaje wakati waarabu wanakuja kuchukuwa bandari waingize mamilini ya fedha ambazo zitabóresha maisha ya kila mwananchi? Au italetwa na mama yako?
 
Back
Top Bottom