Wàjuvi wa habari, Rafah kuna nini?

1. Kwanini Israel inahamisha watu?
2. Kwanini inataka kupiga mji wa Rafah
. Wanahama kwenda wapi masikini wa MUNGU
Tatizo ni hao hamasi waliowachokoza hao jaaama na huku wakijua hawataweza kuwakabiriii. Iran alijitaidi kurusharusha tu mateke lakini naye nikama vile amepotea, maana alirusha zaidi Jero halafu akaambulia patupu.
 
brazaj
Richard
100 others

Kwa heshima na taadhima karibuni mtufahamishe.

1. HAMAS alitaja guarantee za ceasefire kapewa. Natenyahu kachamganyikiwa:

IMG_20240506_213402.jpg


2. Kwamba HAMAS kakubali Israeli Iko kwenye dilemma ila beberu kitu ingine, atafika bei tu:

IMG_20240506_213828.jpg
 
1. Kwanini Israel inahamisha watu?
2. Kwanini inataka kupiga mji wa Rafah
. Wanahama kwenda wapi masikini wa MUNGU
kulikoroga na huku huwezi kulinywa ni kitu mbaya sana. inauma sana, inatia hurumaaaaa sana na majuto juu, na hakuna namna ya kumdhibiti mwenye nguvu 🐒
 
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said on Monday that his war cabinet approved continuing an operation in the southern Gaza city of Rafah in order to pressure Hamas to release Israeli hostages and achieve the country's other war goals
Tulia weweee mgalatia uchwara
 
Back
Top Bottom