Waigizaji wa Tanzania wana la kujifunza kwenye tamthilia ya Mpali

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,946
6,084
Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao.

Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa yaani.

Director analazimisha story isiidhe ili aendelee kupiga pesa. Matokeo yake inapoteza mvuto.

Hakika wasanii na ma-director wa kitanzania wana cha kujifunza kwa tamthilia ya Mpali inayorushwa na Dstv.
 
Uko sahihi kabisa kwa 100%
 
Mpali ni nzuri sana. Inaonekana mtunzi wake aliandaa story yake mpaka mwisho ndo ikaanza kuchezwa kwahiyo haina mauzauza unlike juakali ilikuwa nzuri sana pia mwanzo lakini kwa sasa ni kama mtunzi anaungaunga tu story yake na hajui aimalize vipi yaan imepoteza mvuto at all
 
Mpali ina mambo mengi ya kiwaki ujue,, mtoto wa mzee (Hambe) akataka kupiga mama yake wa kambo (slay queen Tamala)

Mke wa 3 (Monde) anapenda sana ushirikana,,

Big man Jairos sijui alipiga pale kwa binamu yake na Mwanida,,

Mpali iko vizuri sana wenzetu wako mbele zaidi katika hii,,
 
Jairos alimla monde, mzee nguzu akamfukuzaga shambani, afu mambo yakaenda kombo ikabidi amrudishe shambani na aliomba sana msamaha, hambe tayari alikula tamala wakati ule anawadanganya ana mimba kumbe mtoto kanunua
 
Back
Top Bottom