China ni sawa na mzee mwenye ng'ombe 1,000 na watoto 100 lakini wanalala kwenye ngozi za hao ng'ombe waliowala nyamafu na utapia mlo juu.Ukitaka kuongea lolote kuhusu china fikiri kuhusu population yao kwanza
China ni superpawa mshindani wa kiuchumi wa Marekani.Kila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka.....
Chinese migrants flock to U.S.-Mexico border on economic pressures
Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023
People from China and elsewhere who are suspected of illegally crossing the U.S.-Mexico border are detained by U.S. authorities in southern California on Feb. 4. (Photo by Masahiro Okoshi)
MASAHIRO OKOSHI, Nikkei Washington bureau chief

Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023asia.nikkei.com
Marekan iwe makini na hao wahamiaji , inaeza kuwa trick , kumpa mzigo USA ambao utamfanya azidi kuongeza crime rate na poverty rate kitu kitamshusha ki influence duniani , dunia ya leo kuna mataifa yana vichwa vina mipango ya miaka 50 mbeleKila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka.....