Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,306
- 12,971
Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi wote wa ngazi za chini, kati na juu.
Mimi nashauri wafanyakazi wote nchi nzima tuanze kampeni kubwa na kufanya yafuatayo:
Kwanza tuwatambue kwa majina, nafasi zao na majimbo wanakotoka wale wote walioanzisha wazo la kikokotoo tuhakikishe tubafanya kampeni kubwa kuhakikisha kama ni Wabunge au mawziri hawarudi tena bungeni 2025 Hili lisiangalie mtu, cheo, itikadi au jinsia yake.
Kampeni kubwa ipigwe kupitia mitandao ya kijamii na mikutanoni na kuwatangaza wazi kuwa hao no maadui wa wastaafu katika nchi hii. Kupitia njia mbali mbali tuanze kuorodhesha maadui hao na kuaanza kuwaduta popote walipo na chochote wafanyacho.
Pili tuwatambue kwa majina, nafasi zao na majimbo watokako wale wote walioungana na wafanyakazi kupinga kikokotoo. Hawa tuwatie moyo, tuungane nao, tuwaunge mkono 2025 Hapa pia tuwe makini na wanafiki na machawa wote.
Nadhani ni kwa namna hiyo tu tutakuwa timewaonesha kwa namna gani nguvu yetu ni kubwa
Nawasilisha