Wafanyabiashara takribani 80% wana dini za kuzuga tu, wengi huenda kwa waganga kwa kuamini ndio sehemu sahihi kutatua matatizo

gearbox

Senior Member
Apr 20, 2024
194
528
Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania

1714065151533.png

Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko.

Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga

Biashara ikiwa na wateja wachache huona hawajiongeza, suluhisho ni kwenda kwa mganga
 
Trust me hata madon wakubwa unaowajua hapa mjini Wana waganha wao.

Hakuna mwanasiasa ambae hawawahi enda kwa mganga especially wa mboga mboga.

Ulaya na marekeani Wana rituals zao. Ili utusue lazima ufanyie kitu sio. Ziko za namna nyingi.

Si mlisikia juzi kwenye kashfa ya Diddu kwamba ukila mtu kiboga unetusua.

Kwa kifupi matajiri wote njia zao nyeusi nyeusi. Zina makandokando.

We watakuambia fanya kazi kwa bididj but they will never tell kiaje au wao wanafanyaje mpaka upenye kwenye circle yao.

Kama unaingia hela Yako bila kutoa kafara, zindiko, au kula jasho la mtu wewe shujaa. Usitamani maisha ya watu usiowajua vizuri.
 
Ongeza na wafanya kazi pia... Kwa ujumla maisha ya sasa ili watu wafanikiwe wengi wanapitia huko
 
Wengine wanaanza kwenda kwa waganga baada ya kupigwa matukio mazito kwenye biashara zao. Wana dini lakini hawaamini kupata msaada kupitia imani za dini zao.
 
Na 90% wasiowafanya biashara wanaamini wanaamini utajiri kweny biashara ni ushirikina...
 
Trust me hata madon wakubwa unaowajua hapa mjini Wana waganha wao.

Hakuna mwanasiasa ambae hawawahi enda kwa mganga especially wa mboga mboga.

Ulaya na marekeani Wana rituals zao. Ili utusue lazima ufanyie kitu sio. Ziko za namna nyingi.

Si mlisikia juzi kwenye kashfa ya Diddu kwamba ukila mtu kiboga unetusua.

Kwa kifupi matajiri wote njia zao nyeusi nyeusi. Zina makandokando.

We watakuambia fanya kazi kwa bididj but they will never tell kiaje au wao wanafanyaje mpaka upenye kwenye circle yao.

Kama unaingia hela Yako bila kutoa kafara, zindiko, au kula jasho la mtu wewe shujaa. Usitamani maisha ya watu usiowajua vizuri.
Ndiyo hawa Atheists uchwara hapa JF na hupinga kwa nguvu zote uwepo wa Mungu Muumba mbingu na nchi ilihali wana milango yao wanayopitia kujipatia mali za duniani.

Zaka, zaka, zaka nimekuita mara 3 tafadhali usinipite hata mwezi bila kunisumbua rohoni ili nikutoe kwa Mungu inavyopasa ili niwe na ulinzi kiafya, kiroho na majanga ya dunia hii.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ongeza na wafanya kazi pia... Kwa ujumla maisha ya sasa ili watu wafanikiwe wengi wanapitia huko
Vyeo, madaraka, kuogopwa kwa kutetemekewa na Wafanyakazi wenzio wakati wote makazini. Kuna Bosi mmoja akiwa ofisini alikuwa anatafuna bigjii akiwa ameshaichovya kwenye chupi ya Ke wake iliyojaa damu za hedhi, mioyo ya Binadamu ni giza nene.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Sahihi, ila kwenye mafanikio yeyote lazima utoe sacrifice/kafara yanamna yeyote...
Hata yesu alitoa damu yake kwania yakukomboa dunia
 
Watu bana mbona wahindi wanafanya wazi kabisa kuna sehemu unakuta katoto ndondocha kamewekwa mbele ya duka ila hao watu hawana muda nao,...........,,hii dunia kila mtu ana code zake ilimradi tu usidhuru binadamu mwenzako
 
Hakuna kisicho cha kweli kwenye uzi huu.

Kwa tafiti zisizo rasmi nilizofanya, nimebaini karibu 90+ ya waTanzania wote bila kujali ni mshika dini za kigeni au laa, wanajihusisha na mambo ya kishirikina.

Unaweza muona mtu anajifanya mfuasi mzuri wa mambo mema yahusuyo dini za kigeni lakini ndani ana misukule yake imetulia au ana watalaam wake anaowapa nafasi ya kwanza.
 
Back
Top Bottom