Waethiopia haramu 41 wakamatwa moshi kilimanjaro ati dreva amekimbia aisee??Why

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,636
23,074
Majuzi niliongelea swala moja la kushangazaaa

Kwa nn kila wanapokamatwa wasomali ama waethiopia atuambiwi dreva na waliohusika wamekamatwa??

Mjini moshi waethippia 41 wamekamatwa wakitokea kwao

Maswali haya yanatishia mipaka yetu sana

1.Mkuu wa immigration boda nambanga je hawa wamepitia wapi??

2.Nani alieruhusu kundi zima hilo kupita bila passport na docs halali za kuingia nchini

3 je polisi wa maeneo ya immigration n kweli hawajawaona hawa watu wanapopita??

4.Baada ya boda ya namanga kuna mapolisi wako njian wanasimamisha malori na ma basi wakishirikiana na immigration

Swali hawa watu wa zamu sikuhioo walikuwa wapi??

5.Je unajua ukiona wamekamatwa hivi ujue wamechomwa yaan kuna mtu karukwa kwenye mgao....

Hiili genge inaonekana n kubwa sana sanaa mh mkuu wa immigration fanya maamuzi maalum mama....

Wakitokea wahun hawa kukamatwa toaa wahusika wa boda peleka ukoo zbz mbali kabisa na maeneo ya boda

Wahusika wakuu wa polisi iteni waliokuwa zamu sikuhio wamepita hao wahamiaji haramu weken chini toen hapo boda wote waliokuwa zamu nje ya hapo haya maigizo kutuonyesha wamekamatwa kadhaa yafeeeee....

Mwisho na nyie tuanze kuita watanzania haramu kwa kushiriki kuwasaidia hawa wahuni kila siku wao mbona sisi atukamatwi uko 🇪🇹??
 
Huko Ethiopia kuna nini hata raia wake wanakimbia ?

Hivi Ethiopia nayo iliingizwa East Africa ?
 
Huko Ethiopia kuna nini hata raia wake wanakimbia ?

Hivi Ethiopia nayo iliingizwa East Africa ?
Tuwaingize tu aunt sio kwa mkamatioo huu kilasikuwao wanakupenda hii Channel n ndefu hatare balaaa asikwambie mtu na ukiona wamekamatwa karukwa mtu mshindo diamond anasema wamemchapa matukio akawalipua
 
Majuzi niliongelea swala moja la kushangazaaa

kwa nn kila wanapokamatwa wasomali ama waethiopia atuambiwi dreva na waliohusika wamekamatwa??

mjini moshi waethippia 41 wamekamatwa wakitokea kwao

Maswali haya yanatishia mipaka yetu sana

1.MKUU WA IMMIGRATION BODA NAMBANGA JE HAWA WAMEPITIA WAPI??

2.NANI ALIERUHUSU KUNDI ZIMA HILO KUPITA BILA PASSPORT NA DOCS HALALI ZA KUINGIA NCHINI

3 JE POLISI WA MAENEO YA IMMIGRATION N KWELI HAWAJAWAONA HAWA WATU WANAPOPITA??

4.BAADA YA BODA YA NAMANGA KUNA MAPOLISI WAKO NJIAN WANASIMAMISHA MALORI NA MA BASI WAKISHIRIKIANA NA IMMIGRATION
SWALI HAWA WATU WA ZAMU SIKUHIOO WALIKUWA WAPI??

5.JE UNAJUA UKIONA WAMEKAMATWA HIVI UJUE WAMECHOMWA YAAN KUNA MTU KARUKWA KWENYE MGAO....

HIILI GENGE INAONEKANA N KUBWA SANA SANAA MH MKUU WA IMMIGRATION FANYA MAAMUZI MAALUM MAMA....

WAKITOKEA WAHUN HAWA KUKAMATWA TOAA WAHUSIKA WA BODA PELEKA UKOO ZBZ MBALI KABISA NA MAENEO YA BODA

WAHUSIKA WAKUU WA POLISI ITENI WALIOKUWA ZAMU SIKUHIO WAMEPITA HAO WAHAMIAJI HARAMU WEKEN CHINI TOEN HAPO BODA WOTE WALIOKUWA ZAMU NJE YA HAPO HAYA MAIGIZO KUTUONYESHA WAMEKAMATWA KADHAA YAFEEEEE....

MWISHO NA NYIE TUANZE KUITA WATANZANIA HARAMU KWA KUSHIRIKI KUWASAIDIA HAWA WAHUNI KILA SIKU WAO MBONA SISI ATUKAMATWI UKO 🇪🇹??
Mtandao wa wageni hatamu ni kama ule wa dawa za kulevya na mirungi.
 
Kwani watanzania nao ushaona wanazamia Ethiopia ama kuita?

Kwanza kuwaita watu haramu snini ni ubaguzi tu. Sijawahi kusikia waethiopia wakifanya uhalifu hapa nchini.

Sisi kuwa sehemu ya njia kwao kupita kwa nini iwe mateso kwao? Yaan tumekaa barabarani afu tunawazuia wapitaji.

Tuwawekee utaratibu wa kupita ambao ni rahisi tu. Moja ya haki za binadamu ni free movement sasa hawa kila siku wanaleta habari kuwa wamewakamata brabraa.
 
Huwezi kuzuia human traffic, huo ni mtandao mkubwa.

Alichoamuwa muingereza sasa hivi ukitia puwa yako Uingereza kinyume cha sheria makazi yako Rwanda, Kagame ameshavuta mpunga wake.
 
Una Uhakika walipita Border ya Namanga kutokea Kenya mpaka Moshi? Vipi Kama walipita Border Nyingine kamaTarakea na Holili?

Kiufupi kuingia Tanzania kwa Kupitia mipaka ya Tarakea na Holili na Maeneo ya Rombo nzima ni kazi rahisi sana, kuna njia Zisizo rasmi nyingi mno, yaani nyingi sana kiasi kwamba kuzuia inawawia ugumu askari wetu.

Pili, kutokea Tarakea-Rombo mpaka Moshi kwa Njia ya Lami hakuna Polisi Checkpoint inayoshughulikia uhamiaji ukilinganisha na Ukiingia Kenya Mpaka unafika Nairobi njiani kama sio Mkenya kuna vikwazo kidogo,kwetu ni unajiendea tu na hakunlna anayejali.

Hivyo unaweza kuta watu hao waliingizwa nchini kidogo kidogo au vinginevyo.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Police na maofisa uhamiaji wafukuzwe na kuamishwa kisa wamepita wahamiaji haramu? Mbona una roho kama ya JIWE
 
Back
Top Bottom