Wadudu Arusha wamuahidi RC Makonda Uwanja utajaa Siku ya Mei Mosi na Rais Samia atafurahi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,604
142,917
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani

Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni

Nawatakieni Dominica njema
 
Bangi tu hizo wana uwezo gani wa kuujaza uwanja hao wahuni?
 
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani

Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni

Nawatakieni Dominica njema
Hapa ndipo inajidhihirisha kuwa nchi imevaa chupi kichwani, kumbe Arusha ina wafanyakazi wadudu!!
 
Back
Top Bottom