sawe4u
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 973
- 572
Naandika haya kutokana na yanayojiri katika biashara zangu
Niliwahi kufanya biashara Kimara na nilipata maendeleo mazuri kibiashara ila nilihama kwakuwa ndio home boi
Sasa baada ya kuhama nimekuja huku Kusina mwa Tanzania (Mtwara)
Kwa sasa niko na miezi na 8 katika biashara yangu (mobile money) ila sikuwa naamini kuhusu chuma ulete ila kwa sasa huku kunifanya niamin kwakuwa kila baada ya 1 au wiki nakutana na upotevu wa ela nyingi hadi biashara inashuka kabisa
Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete kamisheni ni nzuri ila mtaji unakufa kwahiyo ni kazi bure ....