Habari wadau.
Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti.
Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu fulani na kuiacha ardhi yao tupu. Hivyo wamerudi kwenye ardhi yao tuwapishe.
Je, itakuaje?