imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,833
- 71,374
Haitasaidia, Dialogue pekee
Haitasaidia, Dialogue pekee
Hahahahaha...No comment , mwanasiasa ni mwanasiasa tu..we huoni mwenyekiti wa CENI Cornele Nangaa yuko pamoja na Eric hapo kwa picha ?Tresor Mandala ndio maana Joseph Kabila anataka kurudi kwenye siasa?
Wiki iliyomalizika, mkewe Kabila alipowatembelea wahanga wa mapigano kule kambini, alitumia nafasi hiyo kumuomba mmewe bwana Kabila arudi kwenye siasa, awache masuala ya masomo kwanza.Hahahahaha...No comment , mwanasiasa ni mwanasiasa tu..we huoni mwenyekiti wa CENI Cornele Nangaa yuko pamoja na Eric hapo kwa picha ?
Mkuu No comments ,kuhusu DRC nilishaandika humu yote ...Wiki iliyomalizika, mkewe Kabila alipowatembelea wahanga wa mapigano kule kambini, alitumia nafasi hiyo kumuomba mmewe bwana Kabila arudi kwenye siasa, awache masuala ya masomo kwanza.
Nanga+serikali ya Kenya tangu Uhuru mpaka mpaka Ruto ni kundi moja na Kabila.
Hivi ile ziara ya Ruto na Museveni hapo Zanzibar kwa Samia kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan ilikuwa ni ya kawaida kweli?
Sidhani kama anahitaji kuchaguliwa na wakongo wote zaidi ya regime yake tu.Mkuu No comments ,kuhusu DRC nilishaandika humu yote ...
Kuhusu hizo ziara mimi sijui
JKK kurudi ktk siasa kwa sasa bado na unahisi wa Congo watamchagua ?
Nafikiri wapo ambao bado wanafadhiliwa na makoloni yale kwa maslahi yao kama madiniJe, umeshawahi kujiuliza ni kwa nini nchi ya Congo DRC au (Zaire) imekuwa na tatizo la kuwepo kwa Waasi kwa miaka yote tangu aondoke mkoloni wao Ubelgiji mwanzoni mwa miaka ya 1960??????? Umeshawahi kujiuliza swali hili na kulipatia majibu yake sahihi???
Tafakari, Chukua hatua!
Kesho Mr Slim from a slim country atakuwa na hasira na TanzaniaWaasi hao walalamika kuwa Bwana Eric Nkuba alikamatwa katika uwanja wa JK International Airport Dar es Salaam.
Mamalaka za Tanzania zilimkabidhi jamaa huyo kwa mamlaka za DRC na huko jamaa kashughulikiwa vibaya na kutema siri zote za waasi hao. Pia ametaja Rais Msitafu J. kabila ni mfadhili wa waasi hao.
Bro za siku. Nimekumiss madini yako1. M23 ni Rwanda. Muungano wowote ambao M23 yupo maana yake uko chini ya Rwanda.
2. Rwanda ina destabilize Congo DRC kupitia vikundi mbali mbali ili baadae imege territory.
3. Kukamata watu na kuwarudisha makwao sio jambo geni. Tanzania imekamata wanyarwanda wengi tu na kuwarudisha kwa Kagame, sisi tunaangalia maslahi yetu kama nchi.
Huwa mnachukulia wakongomani wajinga km watanzania eeh ?Sidhani kama anahitaji kuchaguliwa na wakongo wote zaidi ya regime yake tu.
Wacha tuone, mambo yataishaje
Mkuu za masiku mingi1. M23 ni Rwanda. Muungano wowote ambao M23 yupo maana yake uko chini ya Rwanda.
2. Rwanda ina destabilize Congo DRC kupitia vikundi mbali mbali ili baadae imege territory.
3. Kukamata watu na kuwarudisha makwao sio jambo geni. Tanzania imekamata wanyarwanda wengi tu na kuwarudisha kwa Kagame, sisi tunaangalia maslahi yetu kama nchi.
Watu wengi wamesahau yale yalokuwa yakifanywa na Hybyarimana dhidi ya watutsi kabla ya mauaji ya Kimbari.Je, umeshawahi kujiuliza ni kwa nini nchi ya Congo DRC au (Zaire) imekuwa na tatizo la kuwepo kwa Waasi kwa miaka yote tangu aondoke mkoloni wao Ubelgiji mwanzoni mwa miaka ya 1960??????? Umeshawahi kujiuliza swali hili na kulipatia majibu yake sahihi???
Tafakari, Chukua hatua!
Hujui unacho kiongea wewe dogo,usikute hata Jkt hukupitiaWanazungumzia porini waje huku kweupe tuwaone!
Ushapiga cha ArushaWanazungumzia porini waje huku kweupe tuwaone!
Nakuunga mkono ndugu yangu.Watanzanua wenzangu tusiwe tunafurahia au kuunga mkono matukio kama haya, ni hatari sana vitu kama hivi. Tunapaswa kutafakari kwa kina sana kabla ya kujihusisha au kushabikia mambo kama haya.
Wakikugeuzia ndiyo utajua hatari zakeKwahiyo tuache waendelee kuua raia wasio na hatia?