Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,299
- 1,450
- Thread starter
- #21
Nilikuwa Napenda Sana Kula Mboga Aina Ya Mgagani, Pamoja Na Mnavu
Kuna Jamaa Yangu Wa Bukoba Akaniambia Hizo Mboga Zote Ni Dawa Moja Kwa Moja Unapokula Ingawa Wewe Hujui, Akasema Zinatibu Vidonda Vya Tumbo
Kwa Kuwa Morogoro Mnavu Na Mgagani Ni Mwingi Imekuwa Ni Mboga Pendwa Sana Kwangu
Samahani Sina Pictures Za Mboga Ya Mgagani Na Mnavu Ambaye Ataweza Kuweka Pictures Itakuwa Vema Wasioujua
Ina Uchungu Kiasi Ila Ni Nzuri Sana Morogoro Maeneo Ya Kiloka Siku Za Jumanne, Ijumaa Kuna Gulio Inapatikana