franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,400
- 1,452
Ngumbaru na Wazalendo wenzangu hii ndo gari ya kumilik Kama Una hela ya mawazo Kama Mimi. Bei nafuu, mafuta inanusa na Spea bwerere.
Hakuna European car inayofaa Wanyonge. Narudia, Hakuna.Ngumbaru na Wazalendo wenzangu hii ndo gari ya kumilik Kama Una hela ya mawazo Kama Mimi. Bei nafuu, mafuta inanusa na Spea bwerere.
View attachment 2098960
View attachment 2098961
Hio gari hapo pichani ni gari ya aghali kuimiliki wala sio ya wanyonge😅 ingekuwa starlet sawa ningekubali!Ngumbaru na Wazalendo wenzangu hii ndo gari ya kumilik Kama Una hela ya mawazo Kama Mimi. Bei nafuu, mafuta inanusa na Spea bwerere.
View attachment 2098960
View attachment 2098961
Wanyonge hawa hawa au kuna wanyonge wengine ??
Bei ya gari hiyo CIF paka dar port na TRA ni 15.5m fuel 14km/L mnyoge gani hapa anaiweza,........Ngumbaru na Wazalendo wenzangu hii ndo gari ya kumilik Kama Una hela ya mawazo Kama Mimi. Bei nafuu, mafuta inanusa na Spea bwerere.
View attachment 2098960
View attachment 2098961
TOYOTAWabongo wana magari yao mzee na yanajulikana...😁😁
Weeeeee? Dadeki..wakati kwa toyota zetu tunabeba kwa 280Hio gari hapo pichani ni gari ya aghali kuimiliki wala sio ya wanyonge ingekuwa starlet sawa ningekubali!
Hio kubadili set ya shock absobers tu inaweza fika million na ushee!
Eeh sasa toyota set nzima 250K utafananisha na hao jamaa?Weeeeee? Dadeki..wakati kwa toyota zetu tunabeba kwa 280
Wacha tubanane huku huku mzeeEeh sasa toyota set nzima 250K utafananisha na hao jamaa?
ina speed?Ngumbaru na Wazalendo wenzangu hii ndo gari ya kumilik Kama Una hela ya mawazo Kama Mimi. Bei nafuu, mafuta inanusa na Spea bwerere.
View attachment 2098960
View attachment 2098961