Chanzo kikuu cha ushoga ni ukatili nitaeleza jambo hapa;

Nikisema ukatili sio tu ule ukatili wa kijinsia wa kulawiti watoto na vijana hapana kwani ukatili huu unachangia kwa asilimiaa ndogo sana pengine isifike 10%

Ukatili wa baba kumpiga mkewe au kutengana naye kwa visa vya ukatili, huu ndio kiini hasa cha ushoga maeneo mengi ya Tz, ukifuatilia mashoga wengi utagundua hili swala. Sasa kwanini hili linachangia na linachangia vipi?, Hii ni mada pana kidogo wakuu.
 
Haya mambo yana uhusino mkubwa na sera hizi za kucopy kutoka mataifa ya kimagharibi.

Ukianzia mambo ya haki sawa yamechangia sana hili janga. Vijana wetu wanakutana na mabinti wanaowaonyesha viburi na jeuri hadi wanakosa mood ya kuwa na wanawake sababu ya kuepuka rejection na kero za kudeal nao wanaona watafute affection kwa wanaume wenzao.

Malezi especially ya single mothers. Wanawake wanalea watoto kimahaba sana. Mabusu kibao na kukumbatiana kama nyani muda wote. Mtoto wa kiume hii inamfanya awe laini na kushindwa kudevelop vizuri male traits ndani yao wanabakia kuwa soft ndani ya nafsi. So wakimiss yale mahaba ukubwani wanajikuta wanaliwa na wanaume wenzao wanaojua kubembeleza.

Mwanamke akilea mtoto bila baba around impact mojawapo ni kutoa picha ya uanaume katika akili ya mtoto yule. So akikua anakuwa hana ajualo kuhusu kuwa mwanaume kwa mwanamke wake so anajikuta anavutiwa na wanaume wenye traits za kiume.

Madogo wengi wa miaka hii hawajui tofauti ya kuwa mwanaume au mwanamke. Maana hata nguo za siku hizi wanavaliana wa kike na wa kiume. Tazama akina rayvan, wanavyosuka nywele kama dada zao. Sasa Madogo wa sampuli hizi umuweke meza moja na Mimi kwann asijiskie dhaifu na kuomba niwe mume wake.

Sera za kiserikali especially maeneo ya Afya na chakula napo ni pa kutazama. Chakula ni silaha nzuri sana ya kujenga taifa lolote.
Tokea miaka ya 1990s serikali na wizara husika wamekuwa very careless kuhusu raia wao vyakula wanavyokula, dawa wanazotumia, mambo ambayo yanachangia sana mabadiliko ya kitabia. Mfano Tazama vyakula vinavyotokana na mbegu za kisasa (GMO).
Tazama mabinti wanavyobwia P2 kila siku, hizi dawa zinawavuruga mzunguko halisi wa uzazi na kudisturb msawazo wa hisia.
Ndio Maana unaweza kushangaa mabinti wa siku hizi especially hawa kuku wa bloiler (mabinti wa mijini) wengi hawana hisia, Labda akuone na hela na hapo tamaa ya hela sio mahusiano.

Naturally vitu vinavyomvutia mwanamke ni Jasho, mchoro wa kidevu cha mwanaume, pua, kifua, gardenlove, sauti nzito, wingi wa ndevu, misuli ya mikono, etc. Ila mabinti wa kisasa hawapo responsive na hizo features wanataka mwanaume soft, mpaka poda, sauti, mwanaume ambaye hata Mimi nikimuona nadinda nataka nikamgegede, why wanaume sasa wasianze kulana na kundi kubwa wanaanza kulainika?!

Kuna mengi sana nyuma ya pazia ila yote inachangiwa na sera za serikali kwa raia.
 
**** mashoga halisi,na kuna vijana wanaoukaribia kuwa mashoga kwa matendo,mavazi na muonekano.vijana wa Dar wanaosha miguu iwe soft,vijana wa Dar wanavaa vitambaa vya kike kichwani,vijana wa Dar wanapaka lipshine ya maji mdomoni n,k.
Wanasuka. Wanavaa skin jeans, Wanavaa fulana zile zenye kola kubwa, wanarembua, wanalalamika, wanapenda vya kupewa zaidi, wanashiriki umbea etc.
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake haonekani kama ni shoga wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia ukimuona unasema ni kidume wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao

Hapa ofisi nayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu

Sijui kama miaka michache kutakua na wanaume marijali wengi itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8

Hali ni mbaya sana hapa dar kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar hivi tatizo ninini?Yaani limekua ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume mungu nilindie kizazi changu uwiii wanaume kwanini hivyo lakini?<img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji24.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji24.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji24.png" />
fb na insta mishoga imejazana kibao yani inajiamini kupita maelezo imejipodoa, imesukia mawigi na wanajitangaza live bila chenga na sura hawafichi na wanawake ndo wanaongoza kwa kuwasifia na kuwavimbisha vichwa.

Afu wote hao makao makuu yao ni dar. Vijana wa dar wengi skuiz wamekuwa legelege yani wanajilegeza hata ukimwangalia unashindwa kutofautisha kama ni me au ke. Kuanzia mavazi, ongea mpaka kutembea dah!!!!
 
Kipindi nasoma sekondari ya NYABULOGOYA-NYEGEZI(mwanza) nakumbuka ilikuwa siku ya sherehe flani ya UKWATA.

Nilipewa kazi ya kufunga matent,baada ya kumaliza ile kazi sasa nikasema wacha niende kule chooni nikaoge na mimi niulambe machomeko nikakae kwenye table,katika harakati za kwenda chooni kuoga nikakutana na rafki angu anaitwa Maruguabili huyu yeye alikuwa wamepanga geto anaishi na kaka yake afu geto lilikuwa karibu sana na shule.

Huyo rafiki akaniambia acha kuoga chooni twende gheto ukaoge kwa utulivu na raha,nikakubali tukaenda.Alivyofika akanipa funguo za gheto na kunionesha bafu wanalotumia maana pale kila mpangaji anatumia bafu lake kisha yeye akarudi shule kuendelea na kazi ya kufata kreti za soda kwa ajili ya sherehe.

PICHA LINAPOANZA SASA
Nikaenda kuoga fresh nikaingia gheto kujifuta na kupaka mafuta sasa si mnajua wengi vitu kama vioo hivi huvipachika madirishani ili wakati anajichana au kujiona uso anakuwa anapata mwanga fresh na kioo kinampa taswira yake,pia hivyo ndivyo ilivyokuwa kwangu.

Wakati najichana nywele nipo usawa wa dirisha naangalia kioo pia upande wa kule nje unaweza kuutazama vyema nikaona jamaa almost baadae nilikuja kuambiwa alikuwa form3 anasoma shule (taqwa au thaqafa)apa nmesahau shule halisi ila ni kati ya hizo.

Katika kutazama kwangu nikaona amezunguka nyuma ya nyumba na watoto almost wakizidi sana ni darasa la 3 wale watoto walikuwa kama 3 hivi na yeye wa 4.

Akawaambia wale wawili kuwa waende atawaita badae akabaki na dogo mmoja apo mimi nipo upande wa pili tena ndani ya chumba hanioni ila sikujua ana ajenda gani nikaonama kujipaka mafuta na kubrash viatu,sasa wakati na simama hivi nimeshavaa suruali najiangalia kwenye kioo kilocho usawa wa dirisha nione mavazi yamenikaaje asee kwa mara ya kwanza nikaona mwanaume anamuingilia yule dogo tena dogo wa kiume na dogo yupo anachekelea.

Nilipata hasira nikatoka nje chap nikatafta mbugu(kuni) ya fasta fasta kuzunguka kule nyuma nikamrushia na kumtukanq yule jamaa aache ujinga huo lakin ile mbugu ilikwama kwenye fence ya senyenge na mimi sikuweza iruka jamaa yule akakimbilia ndani napia kale katoto kakuzubaa kidgo nakenyewe kakafata mbio kwenda ndani ila nikaona yule dogo kashazoeshwa maana nilipomuona alikuwa anachekelea tu nazani malinda yalikua tayari yashatatuliwa kitambo.

Baada ya muda yule refki yangu alikuja nikamueleza lile tukio na akaniambia jina la uyo kijana nikamueleza na mtoto aliyefanyiwa pia akanipa jina lake.Apo pia ndiyo niliambiwa kuwa anasoma form 3 shule tajwa apo juu basi mimi nikasema twende tukameipoti kwa mama yake lakni yule rafki yangu pamoja na wapangaji wengine pale maana waliniona kipindi natoka ndani nakimbia kumfata yule jamaa aloyekua anamgeuza dogo hivyo wakanishauri niache tu kwasababu uyo kijana analelewa kishoga na mama yake ambaye hapendi mwanae akosorewe.

Basi nikaipiga chini nikarudi kwenye sherehe kula wali ila kinyonge
 
Chanzo kikuu cha ushoga ni ukatili nitaeleza jambo hapa;

Nikisema ukatili sio tu ule ukatili wa kijinsia wa kulawiti watoto na vijana hapana kwani ukatili huu unachangia kwa asilimiaa ndogo sana pengine isifike 10%

Ukatili wa baba kumpiga mkewe au kutengana naye kwa visa vya ukatili, huu ndio kiini hasa cha ushoga maeneo mengi ya Tz, ukifuatilia mashoga wengi utagundua hili swala. Sasa kwanini hili linachangia na linachangia vipi?, Hii ni mada pana kidogo wakuu.
Hujaeleza kwa kina umebwata tu.

Baba kumpiga mke wake kunasababishaje mtoto awe shoga ?
 
Back
Top Bottom