Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,380
- 2,042
Habari, Shimso Foods inawaletea huduma ya vitafunwa aina zote kwa wakazi wa dar na vitongoji vyake
Vitumbua 300
Chapati 500
Kachori 300
Maandazi 300
Bagia za kunde 250
Bagia za dengu 300
Sambusa za nyama 500
Visheti 200
Karanga za Mayai 500
Pan cake 300
Vyote unaletewa popote ulipo, minimum ni vitafunwa 100, na unaruhusiwa kuchanganya
0714547830
Tunawatakia mfungo mwema