Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

Bora tufe njaa lkn uislam duniani uheshimike na makafiri
kwa bahati mbaya sasa, heshima haitakuja kwasababu iran hana uwezo kuipiga israel, hata wao wenyewe wanajua hilo. na Israel anafanya hivyo makusudi ili kupata sababu ya kuingia vitani, na ninaamini anatumwa na mabeberu pia walioathirika pakubwa na wahuthi wanaosapitiwa na iran. cha kuomba Mungu vita isianze tu, ili uchumi usishuke.
 
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.

Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”

Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.

Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.

Ayatollah Khamenei hata kulala nyumbani kwake halali, anaishi kwenye mahandaki kwa uwoga sbb ya Israel, hivi unaijua Israel vizuri au unaongea tu, mradi wa nyuklia wa Iran uliangamizwa na wataalamu wake kuuawa wote na Mosad, na hakuna tena nia ya kurutubisha uranium nchini Iran, kwani Israel iliangamiza kabisa mradi huo.. na hao wataalam waliuawa ndani ya Tehran, yaani Capital of Iran, so usiongee tu sbb unaweza typing humu, watu wako kazini makini sana IQ kubwa sana inatumika..!!

Sasa eti ndio aje asaidie Gaza wakati mwenyewe Iran ameshindwa kujisaidia, na soon Iran itaenda kuwa kama Iraq ikigusa tu Israel, huo itakuwa mwisho wa Iran, na tambua hizi kelele zote za Middle East mfadhili mkuu ni Iran, sasa subiri uone moto wake

Assassination of Iranian nuclear scientists - Wikipedia Assassination of Iranian nuclear scientists - Wikipedia
 
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.

Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”

Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.

Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Moto unaonenda kuwaka middle East utakua mbaya kupindukia Kisasi cha Iran kitakua ni kizito mno
 
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.

Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”

Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.

Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
sasa wazee hao maskini dah, kwamba na wao wana pumzi ya kumdhibiti muisraeli kweli?
 
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.

Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”

Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.

Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Iran ndiyo mhimili wa ugaidi na uovu mashariki ya kati maana ndiye muasisi, mlezi na mfadhili. Iran akiingia vitani itakuwa ni neema, maana Israel atapata fursa ya kukata mzizi wa fitna mazima
 
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.

Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”

Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.

Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
mashoga wapewe kichapo heavy...
 
Hizo nchi zote ziko tayari kwa vita au xiko tayari kupinduliwa?
Vita hiyo inaenda pindua uongozi nchi zote hizo.
Kama ni mapinduzi itakuwa ni kama yale ya nchi za Afrika Magharibi.Wanashika vijana ambao hawana urafiki na nchi za magharibi na wanaijua Qur'an sawa sawa na kuitekeleza kwa kuoa wake zaidi ya 1
Jee hawa ndio unaokusudia na ndio unaowapenda?
 
mashoga wapewe kichapo heavy...
downloadfile-1.jpg
 
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.

Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”

Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.

Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Unachekesha sanaaa...Hezbollah wataingia Israel kwa kupitia wapi?🤣🤣🤣

Acha hizo Sheikh, Hebu wanusuru Waislam wenzetu
 
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.

Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”

Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.

Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Madaraka matamu Ayatollah analijua hilo vizuri.
 
Tatizo ambalo hulijui ni kua hao unaowasema makafiri ndio wenye akili sana kuliko team makubazi, Mafuta wenzako waliliona hilo na wamejiwekea akiba ya hata miaka 100 pindi mkikata hayo mafuta yenu, na huo ubavu wa kukata hayo mafuta hamna pia maana mitambo na wataalam wote wanatoka nchi za makafir na pesa mnayonunulia mahitaji yenu ni dollars za makafir. Ogopa sana mtu aliekuzidi maarifa kuliko aliekuzidi mali.
Saudia akiijitambua atapigwa vita vikuu. Hivi hajitambui tu
 
Back
Top Bottom