Visa za wageni sasa zipandekutoka $50

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290
Nina hili swala la visa za kuja kutembelea bongo kwa wazungu sasa zipande. Wamekuwa wakitunyonya mda mrefu wao kuja bongo ni $50 lakini nchi nyingi za huko mbele visa kwanza unapeleka mpaka bank statement na vitu unavyo miliki alafu ndo wanakugongga kuanzia $150-$ 7000huko. Sasa kwa nchi yetu hii mbona siye mabilionea wanaingia tuu na kulipa ki$50 wanakuja kula bata tuu kiulaini. Tunavivutio kibao na tunawatoza $50 tuu hii aiingii akilini. Nimefikiria ikabidi nitoe dukuduku langu.

hivikweli kwa mfano hata ukiwa na hoteli yako ukawaaalika wakali wa muziki africa utawalipisha watu $50 tuuu. Hata ile party ya Zari a diamondi ilikuwa expensive. Wanajamii mnalionaje hili na mlima wetu na mambuga ya wanyama ni akili kutoza $50 visa na wanajichukuliampakaniii tuu. Sasa balozi zinakuwa za nini huko njee? Mbona siye kwenda kwao tunaanzia kwenye mabalozi na bahasha za kaki. Jipu hili
 
Back
Top Bottom