Vigezo vya kushiriki green card lottery

jangos

Member
Dec 20, 2023
34
32
Habari zenu wakuu
Naomba kupewa ABC kuhusu hii kitu nimekuwa nikifatilia since wayback lakini sijaanza kushiriki mana sijui natakiwa niwe na kitu gani haswa chamsingi
Nawasilisha
 
ni rahisi tu muhimu ni picha yenye vipimo vyao(mm nilitafuta rafiki akanipiga nikaisubmit)ila nasikia wengine wanasema mjini wanapiga kwa 10,000 kisha unajaza fomu yao ambayo haichukui hata dakika 30.Mimi nimecheza mwaka jana nasubiri matokeo wiki ijayo,ila zoezi bado halijafunguliwa mpaka mwezi wa 9 au 10(sina uhakika sana).Website ni www.dvprogram.state.gov
 
Kama huna cha kumwambia kuhusu alichouliza ingefaa kama ungekaa kimya tu hakukuwa na ulazima wa ku-comment
 
Samahan, naskia Kama huna cheti cha highschool inabidi uwe na work experience asa sijui imekaaje apo we umetumia docs gan
ni rahisi tu muhimu ni picha yenye vipimo vyao(mm nilitafuta rafiki akanipiga nikaisubmit)ila nasikia wengine wanasema mjini wanapiga kwa 10,000 kisha unajaza fomu yao ambayo haichukui hata dakika 30.Mimi nimecheza mwaka jana nasubiri matokeo wiki ijayo,ila zoezi bado halijafunguliwa mpaka mwezi wa 9 au 10(sina uhakika sana).Website ni www.dvprogram.state.gov
 
nI kamari au ni kitu gani kinazungumzwa hapa?

Ukiona unaitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe.
 
Samahan, naskia Kama huna cheti cha highschool inabidi uwe na work experience asa sijui imekaaje apo we umetumia docs gan
kwenye kujaza wanauliza elimu yako ila kama ukibahatika kupata ndo utapeleka hvyo vielelezo wakati wa kuomba Visa
 
Na highschool kibongo ndo form 4 au six?

Back
Top Bottom