iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,263
- 7,865
Halotel....hivi hii namba ni mtandao gani 255613
Halotel....hivi hii namba ni mtandao gani 255613
Mimi nawapa ushauri wabure Hawa ISP wetu sasa hivi watu wanataka urahisi wa matumizi ya hivi vifaa namaanisha routers.
Nawapa wazo mmoja kama itawezekana, kama internet inatumia Laini ya simu Ni Bora kuwepo na line ambayo MTU Ni unlimited ambayo utainunua Kwa Kwa 5000 au 10000 ila inakuwa na vifurushi vya unlimited Kwa mfano waanze na 40000 Kwa speed ya 10mbps, 70000 15 Mbps, 100000 20mbps, 130000 30mbps etc.
Laini hiyo iwe free Kwa MTU akijisikia kuweka bando aweke. iSp watapata faida kwenye manunuzi ya Laini na endapo MTU atanunua vifurushi kuliko huyu mfumo WA sasa hununui routers hupati Laini na still doesn't work kwenye simu ukiiweka hiyo Laini. Mimi naona makosa waliyofanya Ni kulazimisha ununuzi wa router na free router Kwa wale bando kubwa, ingebaki Kwa mnunuzi mwenyewe angependa router au bila router Laini kutokana na nature ya matumizi.
Wabaki na kuuza VIFURUSHI VYAO TU kuhusu router ibaki maamuzi ya mteja.
Mfano Mimi Nina router unaweka Laini yoyote ikontu but still siwezi kuwa na ya ziada for sake of lain zao na mara nyingi natumia Halotel wako vizuri Sana.
Jaribuni hii idea mtaona mwitikio wa wateja
Angalizo
Muwe WA kweli kwenye huduma mtakazo toa sio longolongo la speed au network coverage lazima iwe 4g 5g ili upate service
Ni Hayo
Mwenye wazo au aongezee akosoe it's for better
Io VP chifu NI true unlimited au unlimited ya kwenye makaratasiView attachment 2977430
Chukua Tigo. Laini zao zinakubali kwenye simu.
Ila kianzio ndio ukuta wa chuma.
Sh ngapi kianzio bro, sijajua kuhusu waoView attachment 2977430
Chukua Tigo. Laini zao zinakubali kwenye simu.
Ila kianzio ndio ukuta wa chuma.
Habari wakuu,naombeni ushauri kati ya kifaa hiki chenye 20mbps kwa watumiaji 32,au cha voda ama eatel vyenye 30mbps kipi kitakuwa na ubora kwa kasi ya kustream au kupakua?Tigo wamelegeza kamba huko, kwahivyo vifurushi unapewa Router bure, wewe kazi yako ni kulipa tu!!View attachment 2961936
Mkuu naomba msaada wa kueleweshwa jambo hapa.Za 5G na Unlimited? Kama unaweza afford chukua. 5g nzuri.
Mkuu naomba msaada wa kueleweshwa jambo hapa.Za 5G na Unlimited? Kama unaweza afford chukua. 5g nzuri.
VodaHabari wakuu,naombeni ushauri kati ya kifaa hiki chenye 20mbps kwa watumiaji 32,au cha voda ama eatel vyenye 30mbps kipi kitakuwa na ubora kwa kasi ya kustream au kupakua?
Na vipi kama watakuwa online watu wote 32,je speed itakuwaje?
Kama wote mna stream kwa wakati mmoja uongo mkuu, ila kama mmoja anasoma Email, mwengine yupo WhatsApp, mwengine ana stream etc inaweza kutosha.Mkuu naomba msaada wa kueleweshwa jambo hapa.
Nina staff wangu 32,ninahitaji kifaa cha mtandao iwe voda ,tigo ama eatel.
Nimeona tigo wamerahisisha kidogo ila speed yao ni 20mbps,swali langu ni kwamba vipi kama watu 25au wote 32 tutakuwa connected speed itakuwaje?,tutaweza kustream videos kwenye platform mbali mbali bila kugoma goma?
Mm pia nIitafuta hii sio kwenye site yao or social media wala agents wa halotel anajua km unlimited service ipo kwao wao wanaongelea tu GB za kununua and una top up kutokana na unavyotumia
Kingine natafuta line ya data pekee sijajua naipataje
Connection kwenye hizi mambo will end in tears tuu...
Bora ukachukue router kuliko hizo konakona, ila wanauza parefuu sana, 650K...
Hata airtel wana speed nzuri sana...... Msichoelewa ni kwamba kutumia internet ya router ni tofauti sana na ukiwa unatumia internet ya line iliyoko kwenye simu...
Concept ya kukwepa kutumia Router yao ni kukwepa ndoa ya 650,000.
Maana wakibadilika wakianza kutoa huduma mbovu utajikuta unatamani kuhamia kwingine ambapo kuna huduma nzuri halafu ni affordable. Unakuja kujikuta ndani una kopo la 600,000 na hakuna mnunuaji.
Sio unlimited ni vifurushi vya Mb kawaida, unaweza tumia mb zote siku moja zikaishaAnayetumia HALOTEL M2M atupe uzoefu hapa... Je ni kweli kwamba ina UNLIMITED data package option (official)?
-Kaveli-
Sio unlimited ni vifurushi vya Mb kawaida, unaweza tumia mb zote siku moja zikaisha
sio wanazingua sema wanazingua sananatamani nipate line ya VODA ya chuo. Maana hawa TIGO wanazingua