jf user
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 777
- 622
Nawez kusema kila mtu amepangiwa muda wake wa kuishi hapa duniani.
Kwa mfano wapo waliokufa muda mchache baada ya kuzaliwa, wapo waliokufa wakiwa vijana n.k
Wapo waliokufa bila kuguswa na wengine wakafa kwa namna mbalimbali.
Sasa mimi nijikite Zaidi kwenye hivi vifo vya mapema chini ya miaka 60.
Naweza kusema huu ni mpango wa shetani au dhambi za mhusika kwa sababu watu wengine wanaamua kwa mioyo yao kutenda maovu kiama chao kikifika ndio hivyo watu wanabaki wakilalamika kwanini yule kaondoka mapema bila kujua kilichopo nyuma ya pazia.
Hayo ya nyuma ya pazia ni dhambi tusipoteza muda kama inavyosema kwamba dhambi huzaa mauti basi tusishangae sana na kama hamuamini mnaweza fanya background check kwa wahusika ndipo mtajua naongea nini hapa.
Kama sio dhambi basi ni shetani naomba tusimsingizie MUNGU kwa sababu MUNGU ni mwema na anapenda watu wake na hata jambo likitokea hakutakua na manung'uniko mengi bali yatapita.
Hivyo vifo huja kwa namna mbalimbali nyingi ikiwa ni ajali, magonjwa kama ukimwi, kuuana, ulevi, kuparalyze, kupoteza wapendwa wako n.k
Mostly ni vifo vya mateso makubwa. Ndoa zisizo dumu, mikosi na mafarakano, kutokufanya vizuri shuleni na maeneo ya kazi yote ni matunda ya dhambi.
Wale wema huishi vizuri na kufa vifo vya Amani kabisa kwa mfano nilisikia habari za babu mmoja alikufa kwa furaha na Amani.
Waovu nao pia unaweza kuwaona wananawiri na kustahi ila tambua tuu tunaishi katika ulimwengu wa kubalance. Dhambi hulipwa hapa hapa dunia au motoni ukifa unaenda kuchoma as still life goes on spiritually.
So tunawezaweza kujifunza hapa.