Mjanja M1 JF-Expert Member Oct 7, 2018 3,675 12,359 Apr 19, 2024 #1 Mgeni ndio umeandaliwa Chakula hicho hapo, je utakula au hautokula? Your browser is not able to display this video.
Mgeni ndio umeandaliwa Chakula hicho hapo, je utakula au hautokula? Your browser is not able to display this video.
ILISACHA JF-Expert Member Oct 29, 2019 1,988 3,533 Apr 19, 2024 #2 Kama una njaa sababu ya kutokula ni ipi? We naamini hujui shida na pengine hujaitembea hii dunia ujione vyakula wanavyokula wanadamu! Mshukuru sana Mungu kwa maisha uliyonayo!
Kama una njaa sababu ya kutokula ni ipi? We naamini hujui shida na pengine hujaitembea hii dunia ujione vyakula wanavyokula wanadamu! Mshukuru sana Mungu kwa maisha uliyonayo!
Iyerdoi JF-Expert Member Jun 30, 2012 1,173 1,591 Apr 20, 2024 #3 Mjanja M1 said: Mgeni ndio umeandaliwa Chakula hicho hapo, je utakula au hautokula? View attachment 2968189 Click to expand... Yep! Nitakula sana. Kwani hiko sio chakula?
Mjanja M1 said: Mgeni ndio umeandaliwa Chakula hicho hapo, je utakula au hautokula? View attachment 2968189 Click to expand... Yep! Nitakula sana. Kwani hiko sio chakula?
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Apr 11, 2023 533 817 Apr 23, 2024 #4 Mi naona ugali na mboga inayotamanisha, sasa kwa nini nisile.