Duh hakuna ndoa hapo
Na sikio🔥Kumbe wahindi...Bongo hata awe mwanajeshi wa kike akilambwa tu shingo anadondoka mwenyw
Sio powaNa sikio🔥
KWanni umpige
Jamaa yetu hapo atakuwa alilishwa limbwata. Mwanamke hawezi kukudunda halafu ikaendelea kuishi naye. Ndugu zake wamtafutie msaada.Kuna mwamba miaka ya nyuma alikuwa anachezea kichapo heavy sana kutoka kwa mke wake unaanza kusikia ile milio ya kuguna mwisho uvumilivu unamshinda mpaka anaanza kupiga mayowe. Raia lombe lombe wakifika mwanamke anaanza kupiga ukunga huku akisaula nguo zote. Anasema mume anataka kumuua sahiyo ukimtazama mwanaume yupo hoi kwa kipigo. Majuzi kati nlienda chuga nkawakuta bado wapo na ndoa yao. Yule dada alikuwa anapigana kama mwanaume anarusha ngumi na mateke. Maisha haya 😂
😳😳😳we mwanawake kauli hii umeandika wewe au kunamtu kahack account yako.????muhimu uchi anao? kama anao uchi anapigwa miti kama kawaida
Kuna wanawake wanapiga alafu wanapiga vibaya na hawanaga huruma.Kuna mwamba miaka ya nyuma alikuwa anachezea kichapo heavy sana kutoka kwa mke wake unaanza kusikia ile milio ya kuguna mwisho uvumilivu unamshinda mpaka anaanza kupiga mayowe. Raia lombe lombe wakifika mwanamke anaanza kupiga ukunga huku akisaula nguo zote. Anasema mume anataka kumuua sahiyo ukimtazama mwanaume yupo hoi kwa kipigo. Majuzi kati nlienda chuga nkawakuta bado wapo na ndoa yao. Yule dada alikuwa anapigana kama mwanaume anarusha ngumi na mateke. Maisha haya 😂
Nmeshangaa n wahindi nikajua tu humu hakuna kitu.Kumbe wahindi...Bongo hata awe mwanajeshi wa kike akilambwa tu shingo anadondoka mwenyw
Tutumien NagarJuna Cement kutoka India kwa ubora wa ujenzi.
Malizia,chini juu yakitanda au chini kwenye kuni au kwenye mahindiMwanaume mwanaume tu..hata wacheze nini ..mwanamke upigwa chini nasikwingineko