Video: Paul Makonda na harakati za hila za kuulinda mfumo wa serikali tawala ya CCM ulioshindwa. Atafanikiwa au anasukuma anguko lake?

Hivi kauli ya kile anachokifanya Makonda kuitwa "maigizo" imethibitishwa vipi?!

Na kwasababu hii kauli mostly nimeona ikitolewa na wapinzani, sio kwamba wameamua kutoa jibu rahisi la kisiasa ili kufifisha kile anachofanya Makonda?

Kwasababu kwa mtazamo wangu, ili jambo fulani lithibitishwe kwamba lilikuwa maigizo, basi ni lazima kwanza tuupe muda nafasi ili kuthibitisha hivyo, lakini sio kusema ni maigizo kwasababu watendaji wanaohojiwa na Makonda hawatafanya kile wanachoagizwa.

Hilo ni wrong, au kama ulishaongea na watendaji wahusika wakakujibu hivyo, lakini kama hukuwahi kuongea nao, basi hilo ni jibu uliloamua kujichagulia kwa manufaa yako, possibly ya upande wako wa upinzani.

Nasema hivyo kwasababu, tumeona Makonda akimpigia Mchengerwa juzi, na Mchengerwa nae akaanza kufanyia kazi kile alichoambiwa na Makonda.

Sasa mpaka kufikia hapo naona kuna haja kwa upinzani kuangalia namna nzuri ya kupambana na Makonda, na sio kumtungia majibu mepesi ambayo kiuhalisia hayapo, au kumtukana matusi ya nguoni, find a proper way guys.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app

Anachofanya Makonda ni sawa na Kanisa liyumbe kila nyanja, halafu liwaletee Katekista na kueleza kuwa huyo katekista atamaliza matatizo yote. Halafu katekista akawa anawaita mapadre mbele ya waumini na kuwaamrisha eti wakatatue myumbo wa Kanisa. Wakati maigizo hayo yakiendelea, Askofu naye amekaa kimya!!
 
walisema hawatamjibu Makonda ety sio level yenu ngoja dawa imwingie huyo soga la Ulaya walidhani kumuondoa Magufuli ndio wataingia madarakani moto wa Makonda ni hatari zaidi ya ule wa Magufuli

Nakonda ni kichaa punguani. Hakuna mwenye akili timamu anaweza kuipa uzito wowote kauli inayotolewa na huyo kichaa muuaji na mtekaji.

Don't waste your valuable time discussing this satanic creature Makonda
 
puppet hana hamu tena na siasa za Tz

there is no escape Root this time around, Makonda pekeyake amekaba left, right and center

bado secretary general hajaanza aiseeee

Kwa wasio na akili, ambao ndio shetani Makonda anawalenga, wanamwona shujaa huyo muuaji, jambazi Makonda ni shujaa, lakini kwa wenye akili wote, huyu ni jambazi kama majambazi wengine. Tofauti na hao wengine, huyu amekuwa mistreated. Hakustahili awe anarandaranda barabarani. Alitakiwa kuwa kule Kitayi, Songea.
 
Wewe Mzee unarudi utoto Sasa.Kwamba unashindwa kuwaelewa hao Wapinzani ambao Rais akifanya jambo zuri haitakiwi kumsifia maana ukimsifia utaitwa chawa 😁😁

Sasa unatakiwa uchague kumfurahisha hao Wapinzani au kumsifia Rais akifanya vyema.

Utakula unakopeleka mboga,Mimi Huwa sihangaiki na hao loosers ambao Kwa Sasa wamepigwa shock na mambo 2.

Mosi wasiemtaka karudie Makonda

Pili Muitikio wa watu kwenye mikutano ya MKonda imewapa ubaridi,ule upotoshaji wa sijui watu wanaosombwa na Malori haupo Sasa wanaumbuka.

Last Kiko ni maandamano nayo yamedoda 😆😆

Kwamba Paskali hajui wingi wa watu kwenye ziara za Makonda unapatikana kwa njia zipi? Yaani wapinzani wapate ubaridi kwa ziara za Makonda, nimecheka kwa nguvu Hadi basi. Nakumbuka wakati wa dhalimu magu kulikuwa na hizo nyomi fake, ilipofika wakati wa chaguzi akapora mchakato. Mambo ya kujitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Kwa hiyo ww ni mchambuz waking uchwara mlitaka nn? Paul Makonda anafanya Kaz ya chama vizuri Sana. Kwann Mnyika nae asiende huko kwa wananchi? Huyo mchambuz wako maandaz, nn kinamuma? Makonda anakusanya watu wengine sana kwenye mikutano yake.Na anatatua shida za wananchi. Mchambuz kwanza yupo nje ya nchi, anapakatwa na wazungu hana akili ya kutuambia cha, maana.
Hakuna ubishi Mwenezi Makonda amekuwa na mvuto wa kipekee. Inaonekana viongozi wengine yawezekana wanakosa muda wa tembelea wanachi kwenye maeneo yao. Hivyo anaziba pengo hilo na kuleta faraja kwenye chama na serikalini. Huo ni upande mmoja.

Upande mwingine wapo ambao wamejitokeza na kutaka kumlinganisha Mwenezi Makonda na viongozi wa vyama vya upinzani. Katika kulinganisha ubora wa timu mbili au zaidi wakiwa uwanjani lazima uwanja wa mchezo uwe sawa kwa maana ya kanuni/sheria za mchezo, referee na washika vibendera. Je, uwanja wa mchezo haupendelei upande mmoja?. Hivi sasa Bunge linajadili miswada mitatu. Swali ni kama miswada hiyo itasaidia kuleta level playing field kwenye chaguzi zetu na hapo ndipo Mwenezi Makonda atakapolinganishwa na wanasiasa wa upinzani. Vinginevyo hoja ya kuwalinganisha haina mashiko.
 
Wewe Mzee unarudi utoto Sasa.Kwamba unashindwa kuwaelewa hao Wapinzani ambao Rais akifanya jambo zuri haitakiwi kumsifia maana ukimsifia utaitwa chawa 😁😁

Sasa unatakiwa uchague kumfurahisha hao Wapinzani au kumsifia Rais akifanya vyema.

Utakula unakopeleka mboga,Mimi Huwa sihangaiki na hao loosers ambao Kwa Sasa wamepigwa shock na mambo 2.

Mosi wasiemtaka karudie Makonda

Pili Muitikio wa watu kwenye mikutano ya MKonda imewapa ubaridi,ule upotoshaji wa sijui watu wanaosombwa na Malori haupo Sasa wanaumbuka.

Last Kiko ni maandamano nayo yamedoda 😆😆
Nashangaa Paschal Mayalla ameingia kwenye mtego wa wapinzani na kuamua kututukana sisi eti ni chawa mazagazaga

Acha niwe chawa mazagazaga lakini nitaendelea kuisemea serikali yangu na Rais wangu Mama Samia na chama changu. nimehiyari kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyoandikika .nimeamua kuyaoga matusi ya kila aina kwa ajili ya kuyasema mazuri yanayofanywa na Rais Samia kwa ajili ya Taifa letu. Nimeamua kubeba gharama ya kudhalilishwa kwa kila aina ya jina baya na kila aina ya udhalilishaji lakini sitayumba.
 
Kwa wasio na akili, ambao ndio shetani Makonda anawalenga, wanamwona shujaa huyo muuaji, jambazi Makonda ni shujaa, lakini kwa wenye akili wote, huyu ni jambazi kama majambazi wengine. Tofauti na hao wengine, huyu amekuwa mistreated. Hakustahili awe anarandaranda barabarani. Alitakiwa kuwa kule Kitayi, Songea.
wambie weww mwenyewe basi yale maumati ya mamilio wanaohudhuria mikutano yake kwambo wote ni kinyume na walio na akili 🐒

waleze kwa sauti basi wakuskie vizuri na aliekutuma pia waambie ni nani sema tu usiogope 🐒

ili kwenye sanduku la kura wakujibu 🤣

ndrugo yango thiasa ni taaruma thio mipasho 🐒
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kwamba Paskali hajui wingi wa watu kwenye ziara za Makonda unapatikana kwa njia zipi? Yaani wapinzani wapate ubaridi kwa ziara za Makonda, nimecheka kwa nguvu Hadi basi. Nakumbuka wakati wa dhalimu magu kulikuwa na hizo nyomi fake, ilipofika wakati wa chaguzi akapora mchakato. Mambo ya kujitekenya na kucheka mwenyewe.
usipotoshe watu wewe....

ulivyofura na na hiyo gubu moyoni unaweza cheka kweli wewe? 🤣

labda nyaya za network kichwani zimejidisconect ndio ucheke 🤣
 
  • Thanks

Kwa akili yako kucheka ni kwa furaha tu, hujui Kuna kucheka kwa kebehi. Unakwama wapi 🌈?
 
Harakati za Makonda zinanikumbusha HARAKATI ZA PIMBI WA SANI😁😆
Ey3Rp8WXAAY8SDb.jpg
 
CCM (wakiwa kwenye vikao vyao):-

[Mjumbe mmoja]"Mama ujue kule kanda ya ziwa tunapoteza mvuto, wasukuma inaonekana walimzoea JPM wanapenda matamko"

[Mama]:- kwani ina athari?

[Mjumbe]:- Ndio ina athari mama, kule kuna kura zisizo pungua milioni 3, tumchukue mtu akaokoe jahazi, kuna huyu kijana alikuwa mkuu wa mkoa Dar alikuwa anatoa matamko tamko sana

Hapo chama kikawa kimempa kazi Paul Makonda na makonda akafundwa wewe ukienda kule fanya kama JPM pigia simu mawaziri toa maagizo kwa wakuu wa idara tutakulinda

MAKONDA(mtaani baada ya kuchaguliwa):-
"Hawa ni watu wanyonge msiwakamate wakichoma mkaa, mlio wakamata muwaachie, mama anatembea huko nje kutafuta pesa ili watanzania wachome mkaa kwa utahisi ww nani unawazuia"

Kisha anawaza kimoyo moyo "Hapa imetokea chance ya kurundi mjengoni ngoja niwaoneshe wakubwa uwezo wangi si wanataka matamko tu, hawa wanachi wataelewa tu atakae amini maneno yangu akakamatwa atajua hajui"

CCM (Baada ya Makonda kutoka mtaani)

[Mjumbe]"Mama umeona tumeanza kuaminiwa, Kijana anafanya kazi mzuri,,, sema kijana nae kazidi ndio aseme umeruhusu kuchoma mkaa?"

[Mama]"Hakuna shida watasahau tushinde kwanza 2025"

WANANCHI:-

"huyu Makonda hana mda watamtumbua kaagizwa hiviiiiiiii yeye anafanya vileeeee si umeona juzi Bashe kamjibu!!!!!"
 
Anachofanya Makonda ni sawa na Kanisa liyumbe kila nyanja, halafu liwaletee Katekista na kueleza kuwa huyo katekista atamaliza matatizo yote. Halafu katekista akawa anawaita mapadre mbele ya waumini na kuwaamrisha eti wakatatue myumbo wa Kanisa. Wakati maigizo hayo yakiendelea, Askofu naye amekaa kimya!!
denooJ umeelewa kweli hili jibu la hoja yako hapo juu toka Kwa ndugu Bams?

Na kwa ulichoandika hapa👇👇
Hivi kauli ya kile anachokifanya Makonda kuitwa "maigizo" imethibitishwa vipi?!

Na kwasababu hii kauli mostly nimeona ikitolewa na wapinzani, sio kwamba wameamua kutoa jibu rahisi la kisiasa ili kufifisha kile anachofanya Makonda?

Kwasababu kwa mtazamo wangu, ili jambo fulani lithibitishwe kwamba lilikuwa maigizo, basi ni lazima kwanza tuupe muda nafasi ili kuthibitisha hivyo, lakini sio kusema ni maigizo kwasababu watendaji wanaohojiwa na Makonda hawatafanya kile wanachoagizwa.

Hilo ni wrong, au kama ulishaongea na watendaji wahusika wakakujibu hivyo, lakini kama hukuwahi kuongea nao, basi hilo ni jibu uliloamua kujichagulia kwa manufaa yako, possibly ya upande wako wa upinzani.

Nasema hivyo kwasababu, tumeona Makonda akimpigia Mchengerwa juzi, na Mchengerwa nae akaanza kufanyia kazi kile alichoambiwa na Makonda.

Sasa mpaka kufikia hapo naona kuna haja kwa upinzani kuangalia namna nzuri ya kupambana na Makonda, na sio kumtungia majibu mepesi ambayo kiuhalisia hayapo, au kumtukana matusi ya nguoni, find a proper way guys.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ni kama vile hujaitazama na kuisikiliza video ya uchambuzi huo mpaka mwisho. Ungekuwa, usingetoa hoja hizi..

Mchambuzi amethibitisha pasipo shaka kuwa akifanyacho Paul Makonda ni hadaa na ulaghai uleule wa CCM wa miaka yote..

Katoa mfano wa kauli za uongo wa viongozi waandamizi wa Serikali (kuanzia Rais mwenyewe, VP, PM, mawaziri wa sekta ya usafiri na watendaji wenyewe wa TRC) kuhusu kuanza kwa huduma ya usafiri wa reli ya SGR toka DSM - Morogoro...

Hakuna kilichofanyika. Ni maneno na uongo mtupu..!!

Kama Rais au VP au PM au waziri anatoa ahadi halafu hakifanyiki kitu, huyu Paul Makonda ni nani na na uwezo gani wa kubadilisha mambo? Au wewe hujui kuwa Samia Suluhu Hassan ndiye Rais na ndiye Mwenyekiti wa CCM taifa na boss wa Paul Makonda?

Kama boss wako wa level ya Rais (mungu - mtu) mwenye kura ya veto (final say/decision) anaweza sema uongo wa jambo kwa uthibitisho wa kutofanyika jambo Hilo, wewe regular man utasema nini kifanyike? Utakuwa unatania na kupoteza muda bila shaka, au siyo? Ndivyo afanyavyo Paul Makonda..

On the other hand, kisiasa likely Makonda anafanya kazi yake kupigia propaganda chama chake kikubalike kwa wananchi. Lakini deep down, yeye mwenyewe anajua kuwa hana uwezo wa kufanya maamuzi vs mifumo ya utendaji wa kiserikali..

Na huu ndio uongo na ulaghai unaozungumziwa hapa...

Na kiukweli ni makosa makubwa sana kufanyia siasa uhai na maisha ya watu kwa kuwalaghai na kuwadanganya. Kwa sbb siku watakapoamka na kujua kuwa uliwadanganya, obvious watakumaliza...

Sifa ya serikali yoyote adilifu ni lazima iwe ya UKWELI kwa KAULI za viongozi wake wenye mamlaka ya kimaamuzi ikifuatiwa na MATENDO kuthibitisha kauli hizo..

Kinyume chake, serikali hiyo hukosa kuaminika na kwa hiyo kupoteza uhalali wa kuwepo kwake kwa ajili ya watu (wananchi)...

CCM hawana uhalali. Hawaaminiki na wao wanajua hilo. Kila kiongozi mwandamizi wa serikali kuanzia Rais, VP, PM, mawaziri, wakuu wa idara na taasisi za umma anafikiri hili:

"....Ikitokea nikapoteza nafasi yangu leo, kesho yangu itakuwaje? Nifanye nini sasa?.."

Ukiwa na viongozi wanaowaza hivi muda wote usitegemee wakawa wazalendo na usitegemee wakafikiri juu ya wataifanyia nini nchi na wananchi wanaowaongoza. Hawa muda wote watabuni njia za kuiba Mali na fedha za umma ili kujiwekea akiba ya kesho yao...

Yaani, they will always be defensive...

Paul Makonda ndicho afanyavyo sasa. Anawasaidia wenzake. Na huko bungeni zinatungwa sheria za kujilinda tu..

Lakini, the good news ni kuwa, ukiona watawala wanafikia kuanza kuogopa na kukimbia vivuli vyao wenyewe, tambua kuwa kunakaribia kukucha...!

Na kwa hali ilivyo sasa, nakuambia jambo moja tu ndugu denooJ, kwamba, hata uwape miaka mingine 50 hawa hayawani wa CCM ya Samia Suluhu Hassan na Makonda wao kufanya wasemayo, they will never do anything. Lakini sanasana utawapa muda wa kuendelea kuiba (kufisadi) na kuumiza watu na nchi tu.!!

Kwa sbb hawa watu wameshiba, wakavimbiwa na akili zao zote kuhamia matumboni hadi matakoni. They can't think for others anymore. They are only there for themselves and their children..

Just try to imagine this. Kwamba ishu moja tu ya umeme wameshindwa kuitatua for more than 35yrs tangu changamoto hii ilipojitokeza kwa mara ya kwanza.

They just talk and talk with no or very minimal actions with no impacts to bring permanent solution to the problems facing the nation..!

Hiki alichokiandika huyu 👇👇ndugu Dkt Mwijuma , it's exactly what happened ktk vikao vyao vya kupanga uovu

===============================================

CCM (wakiwa kwenye vikao vyao):-

[Mjumbe mmoja]"Mama ujue kule kanda ya ziwa tunapoteza mvuto, wasukuma inaonekana walimzoea JPM wanapenda matamko"

[
Mama]:- kwani ina athari?

[
Mjumbe]:- Ndio ina athari mama, kule kuna kura zisizo pungua milioni 3, tumchukue mtu akaokoe jahazi, kuna huyu kijana alikuwa mkuu wa mkoa Dar alikuwa anatoa matamko tamko sana

Hapo chama kikawa kimempa kazi Paul Makonda na makonda akafundwa wewe ukienda kule fanya kama JPM pigia simu mawaziri toa maagizo kwa wakuu wa idara tutakulinda

MAKONDA(mtaani baada ya kuchaguliwa):-

"Hawa ni watu wanyonge msiwakamate wakichoma mkaa, mlio wakamata muwaachie, mama anatembea huko nje kutafuta pesa ili watanzania wachome mkaa kwa urahisi, ww nani unawazuia"

Kisha anawaza kimoyo moyo "Hapa imetokea chance ya kurundi mjengoni ngoja niwaoneshe wakubwa uwezo wangi si wanataka matamko tu, hawa wanachi wataelewa tu atakae amini maneno yangu akakamatwa atajua hajui"

CCM (Baada ya Makonda kutoka mtaani)

[
Mjumbe]"Mama umeona tumeanza kuaminiwa, Kijana anafanya kazi mzuri,,, sema kijana nae kazidi ndio aseme umeruhusu kuchoma mkaa?"

[
Mama]"Hakuna shida watasahau tushinde kwanza 2025"

WANANCHI:-
 
View attachment 2891582
This video is Courtesy of SK Media Online TV.

=====================================================
KWA UFUPI;

1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo barabarani anatembea nchi mzima hata sasa kwa kinachoitwa "ziara ya kuimarisha uhai wa chama..."

2. Ukifuatilia hotuba zake ktk mikutano yake, utaona kwa uwazi kabisa nyuma ya pazia sura ya Mtendaji mkuu wa serikali (Rais Samia Suluhu Hassan) na sio sura ya kiongozi wa idara ndogo tu ndani ya Chama Cha Mapinduzi - CCM yaani Idara ya Itikadi na Uenezi.

Mtu anaweza jiuliza, huyu mtu anafanya hivi kwa makusudi, kwa bahati ya kutojua au ana baraka za boss wake M/kiti CCM taifa na Rais wa JMT?

Ni Kwa sababu maagizo yake ni maigizo tu. Hakuna Mtendaji makini wa serikali atayatilia maanani na kuyatekeleza. Ni kwa sababu hayatoki kwa mtu sahihi kwa mtiririko wa utendaji wa kiserikali..

Mtu anajiuliza Yuko wapi Rais mwenyewe? Yuko wapi VP, Dr Phillip Mpango? Yuko wapi PM, Mwl Kassimu Majaliwa? Wako wapi mawaziri wa kisekta ili kushughulika na matatizo na changamoto za nchi? Je, ya Paul Makonda ni kiashiria cha nchi na taifa kukosa uongozi makini na thabiti? Bila shaka hili la mwisho laweza kuwa jibu..!!

3. Kwa hili kila mtu anajiuiza kuikoni huko CCM kwa maigizo haya? Mifumo sahihi haitendi kazi tena au ndio kuchoka kwenyewe huku? Na kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, VP Dr Phillip Mpango na PM Mwl Kassimu Majaliwa wanamtanguliza huyu mtu kupiga kelele ambazo kiuhalisia hazitakuwa na matokeo yoyote kwa wananchi?

4. Fuatilia uchambuzi wa jambo hili toka Kwa mwandishi wa habari mkongwe na nguli Ansbert Ngurumo ktk video ili ujue uongo, hadaa, hila na maigizo ya serikali ya CCM kupitia watu wake wa ajabu ajabu..

Acha unaa usiyokuwa na kichwa. Mbona mnatokwa na povu juu ya makonda?

Leo hii mmesahau kipindi Kinana anafanya ziara ya kujenga chama alivyokuwa anawaita mawaziri Mizingo?

Leo hii makonda anawakumbusha mnaanza kutokwa na povu. Acheni unaaa

Makonda kaza hapo hapo mpaka wapasuke tumbo ilijaaa mavi ya pesa ya wizi
 
denooJ umeelewa kweli hili jibu la hoja yako hapo juu toka Kwa ndugu Bams?

Na kwa ulichoandika hapa

Ni kama vile hujaitazama na kuisikiliza video ya uchambuzi huo mpaka mwisho. Ungekuwa, usingetoa hoja hizi..

Mchambuzi amethibitisha pasipo shaka kuwa akifanyacho Paul Makonda ni hadaa na ulaghai uleule wa CCM wa miaka yote..

Katoa mfano wa kauli za uongo wa viongozi waandamizi wa Serikali (kuanzia Rais mwenyewe, VP, PM, mawaziri wa sekta ya usafiri na watendaji wenyewe wa TRC) kuhusu kuanza kwa huduma ya usafiri wa reli ya SGR toka DSM - Morogoro...

Hakuna kilichofanyika. Ni maneno na uongo mtupu..!!

Kama Rais au VP au PM au waziri anatoa ahadi halafu hakifanyiki kitu, huyu Paul Makonda ni nani na na uwezo gani wa kubadilisha mambo? Au wewe hujui kuwa Samia Suluhu Hassan ndiye Rais na ndiye Mwenyekiti wa CCM taifa na boss wa Paul Makonda?

Kama boss wako wa level ya Rais (mungu - mtu) mwenye kura ya veto (final say/decision) anaweza sema uongo wa jambo kwa uthibitisho wa kutofanyika jambo Hilo, wewe regular man utasema nini kifanyike? Utakuwa unatania na kupoteza muda bila shaka, au siyo? Ndivyo afanyavyo Paul Makonda..

On the other hand, kisiasa likely Makonda anafanya kazi yake kupigia propaganda chama chake kikubalike kwa wananchi. Lakini deep down, yeye mwenyewe anajua kuwa hana uwezo wa kufanya maamuzi vs mifumo ya utendaji wa kiserikali..

Na huu ndio uongo na ulaghai unaozungumziwa hapa...

Na kiukweli ni makosa makubwa sana kufanyia siasa uhai na maisha ya watu kwa kuwalaghai na kuwadanganya. Kwa sbb siku watakapoamka na kujua kuwa uliwadanganya, obvious watakumaliza...

Sifa ya serikali yoyote adilifu ni lazima iwe ya UKWELI kwa KAULI za viongozi wake wenye mamlaka ya kimaamuzi ikifuatiwa na MATENDO kuthibitisha kauli hizo..

Kinyume chake, serikali hiyo hukosa kuaminika na kwa hiyo kupoteza uhalali wa kuwepo kwake kwa ajili ya watu (wananchi)...

CCM hawana uhalali. Hawaaminiki na wao wanajua hilo. Kila kiongozi mwandamizi wa serikali kuanzia Rais, VP, PM, mawaziri, wakuu wa idara na taasisi za umma anafikiri hili:

"....Ikitokea nikapoteza nafasi yangu leo, kesho yangu itakuwaje? Nifanye nini sasa?.."

Ukiwa na viongozi wanaowaza hivi muda wote usitegemee wakawa wazalendo na usitegemee wakafikiri juu ya wataifanyia nini nchi na wananchi wanaowaongoza. Hawa muda wote watabuni njia za kuiba Mali na fedha za umma ili kujiwekea akiba ya kesho yao...

Yaani, they will always be defensive...

Paul Makonda ndicho afanyavyo sasa. Anawasaidia wenzake. Na huko bungeni zinatungwa sheria za kujilinda tu..

Lakini, the good news ni kuwa, ukiona watawala wanafikia kuanza kuogopa na kukimbia vivuli vyao wenyewe, tambua kuwa kunakaribia kukucha...!

Na kwa hali ilivyo sasa, nakuambia jambo moja tu ndugu denooJ, kwamba, hata uwape miaka mingine 50 hawa hayawani wa CCM ya Samia Suluhu Hassan na Makonda wao kufanya wasemayo, they will never do anything. Lakini sanasana utawapa muda wa kuendelea kuiba (kufisadi) na kuumiza watu na nchi tu.!!

Kwa sbb hawa watu wameshiba, wakavimbiwa na akili zao zote kuhamia matumboni hadi matakoni. They can't think for others anymore. They are only there for themselves and their children..

Just try to imagine this. Kwamba ishu moja tu ya umeme wameshindwa kuitatua for more than 35yrs tangu changamoto hii ilipojitokeza kwa mara ya kwanza.

They just talk and talk with no or very minimal actions with no impacts to bring permanent solution to the problems facing the nation..!

Hiki alichokiandika huyu ndugu Dkt Mwijuma , it's exactly what happened ktk vikao vyao vya kupanga uovu

===============================================

CCM (wakiwa kwenye vikao vyao):-

[Mjumbe mmoja]"Mama ujue kule kanda ya ziwa tunapoteza mvuto, wasukuma inaonekana walimzoea JPM wanapenda matamko"

[
Mama]:- kwani ina athari?

[
Mjumbe]:- Ndio ina athari mama, kule kuna kura zisizo pungua milioni 3, tumchukue mtu akaokoe jahazi, kuna huyu kijana alikuwa mkuu wa mkoa Dar alikuwa anatoa matamko tamko sana

Hapo chama kikawa kimempa kazi Paul Makonda na makonda akafundwa wewe ukienda kule fanya kama JPM pigia simu mawaziri toa maagizo kwa wakuu wa idara tutakulinda

MAKONDA(mtaani baada ya kuchaguliwa):-

"Hawa ni watu wanyonge msiwakamate wakichoma mkaa, mlio wakamata muwaachie, mama anatembea huko nje kutafuta pesa ili watanzania wachome mkaa kwa urahisi, ww nani unawazuia"

Kisha anawaza kimoyo moyo "Hapa imetokea chance ya kurundi mjengoni ngoja niwaoneshe wakubwa uwezo wangi si wanataka matamko tu, hawa wanachi wataelewa tu atakae amini maneno yangu akakamatwa atajua hajui"

CCM (Baada ya Makonda kutoka mtaani)

[
Mjumbe]"Mama umeona tumeanza kuaminiwa, Kijana anafanya kazi mzuri,,, sema kijana nae kazidi ndio aseme umeruhusu kuchoma mkaa?"

[
Mama]"Hakuna shida watasahau tushinde kwanza 2025"

WANANCHI:-
Jibu la Bams nimeliona nikaliacha kama lilivyo, alichokifanya hapo simply ameonesha watu wa ngazi ya chini kitaasisi hawawezi kuleta mabadiliko, jambo ambalo kwangu sikubaliani nalo.

Pia ni scenario isiyo na maana kiuhalisia, hapa Rais amemtuma Makonda kuongea na wananchi, Makonda anaongea na wananchi, ili arudishe majibu alikotumwa, kisha uniambie Rais hatayafanyia kazi, au kusema ni sawa na Askofu kukaa kimya... Nop.

- Umeweka video inayomhusu Makonda na kile anachofanya mikoani, sio sahihi kwako kuthibitisha ubovu wake kwa kuwatumia watu wengine tofauti na Makonda, hata hivyo, huyo Makonda msimchukulie kama malaika, kwamba kila atachosema lazima kitendeke.

Vipo ambavyo havitatendeka vitakuja kutendwa na wengine, msilazimishe kumtafutia kasoro Makonda wakati akihangaika kutatua shida za watanzania, mnachoonesha ni ubinafsi wa hali ya juu, hamjielewi tu.

Nawaona wengi wenu mmejigeuza wapiga ramli kutoa conclusion ya kile anachofanya Makonda hakitafanikiwa, mnanilazimisha mpaka nijione nageuka mpiga debe wa Makonda which is not right, but kwasababu ya ukaidi wenu, kuweka vyama mbele zaidi ya matatizo ya watanzania, naendelea kusimama na Makonda.

Watu wana shida huko zimewabana wanahitaji msaada toka popote, ndio maana hata maishani wapo wanaokwenda kwa waganga bila kupenda, ni kwasababu ya shida kuwaelemea.

Hivi kama hayo anayofanya Makonda yangekuwa yanafanywa na mpinzani kuelekeza hizo kero kwa serikali ya CCM, mngeita ni maigizo?

Kwamba serikali ya CCM iliyotengeneza matatizo leo inaambiwa na mpinzani iyaondoe kwasababu wao hawana serikali, mngeita matatizo ya wananchi maigizo?

Au mnataka matatizo ya wananchi waendelee kuishi nayo mpaka siku upinzani utakapochukua nchi?!

Hamjielewi nawaambia tena. Ngurumo nae ana interest zake, msiweke akili zenu pembeni mkaamua kuamini kila anachosema, vyema kupanua bongo zenu kupima uzito wa kile alichoandika, kama mtaweza kufanya hivyo anyway.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2891582
This video is Courtesy of SK Media Online TV.

=====================================================
KWA UFUPI;

1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo barabarani anatembea nchi mzima hata sasa kwa kinachoitwa "ziara ya kuimarisha uhai wa chama..."

2. Ukifuatilia hotuba zake ktk mikutano yake, utaona kwa uwazi kabisa nyuma ya pazia sura ya Mtendaji mkuu wa serikali (Rais Samia Suluhu Hassan) na sio sura ya kiongozi wa idara ndogo tu ndani ya Chama Cha Mapinduzi - CCM yaani Idara ya Itikadi na Uenezi.

Mtu anaweza jiuliza, huyu mtu anafanya hivi kwa makusudi, kwa bahati ya kutojua au ana baraka za boss wake M/kiti CCM taifa na Rais wa JMT?

Ni Kwa sababu maagizo yake ni maigizo tu. Hakuna Mtendaji makini wa serikali atayatilia maanani na kuyatekeleza. Ni kwa sababu hayatoki kwa mtu sahihi kwa mtiririko wa utendaji wa kiserikali..

Mtu anajiuliza Yuko wapi Rais mwenyewe? Yuko wapi VP, Dr Phillip Mpango? Yuko wapi PM, Mwl Kassimu Majaliwa? Wako wapi mawaziri wa kisekta ili kushughulika na matatizo na changamoto za nchi? Je, ya Paul Makonda ni kiashiria cha nchi na taifa kukosa uongozi makini na thabiti? Bila shaka hili la mwisho laweza kuwa jibu..!!

3. Kwa hili kila mtu anajiuiza kuikoni huko CCM kwa maigizo haya? Mifumo sahihi haitendi kazi tena au ndio kuchoka kwenyewe huku? Na kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, VP Dr Phillip Mpango na PM Mwl Kassimu Majaliwa wanamtanguliza huyu mtu kupiga kelele ambazo kiuhalisia hazitakuwa na matokeo yoyote kwa wananchi?

4. Fuatilia uchambuzi wa jambo hili toka Kwa mwandishi wa habari mkongwe na nguli Ansbert Ngurumo ktk video ili ujue uongo, hadaa, hila na maigizo ya serikali ya CCM kupitia watu wake wa ajabu ajabu..
Watanzania tunasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki
 
Zaidi ya nusu ya wanaokusanyika kwenye mikutano yake wanapatikana kwa nguvu ya Dola. Kwa Chama kilichoko madarakani muda mrefu tena kwa shuruti, hakishindwi kupata watu kwa njia yoyote ile Ili kuhadaa umma kuwa wanakubalika. Na huko kote wanahutubia tu bila kujibu maswali magumu. Sana sana wanachofanya ni kustage watu ili walete kero ambazo watajifanya kuzitatua Ili kuhadaa wajinga.
Makonda ni msanii mzuri anaetumia hila na giriba.Wengi kwenye mikutano yake ni wafanyakazi wa serikali, wanafunzi na wanaccm wanaosombwa toka maeneo tofauti kwa lazima kujaza mikutano. Baadhi ya Wananchi wenye uelewa mdogo uenda pale wakidhani yeye ana uwezo wa kutatua kero zao.
 
Back
Top Bottom