Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,808
48,785
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.

===

Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.

 
😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.

Iran ni level ingine.
IMG_20240414_044943.jpg
 
😄 missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.

Iran ni level ingine.
IMG_1735.jpeg

Kwa hiyo target ya Iran ilikuwa ni kumjeruhi huyo mtoto ambaye amejeruhiwa na mabaki ya makombora yaliyoharibiwa?
Maana mpaka sasa makombora yote yaliyorushwa ndiyo yalichoambulia.
Ngoja apigwe na robo tu ya makombora aliyorusha uone kama Tehran inaenda kusimama.
Ilitafutwa tu sababu ayarusha yeye mwenyewe na moja kwa moja kutoka nchini mwaka na ameingia mazima.
 

View: https://youtu.be/tfL8V1yyNxg?si=tjNVxP7CSJuUm9ex

Tazama wewe vitu vinavyo tua kwenye base 😄

Tena Israel amshukuru America na Jordan wametungua hizo drone na missiles kwenye anga la yule bwege Jordan


Nimejikuta nacheka, yaani makombora 500 yote hakuna hata moja limepiga popote, kwa keli waburuza dera/kanzu mnatia huruma, huyo hapo Iran ndiye kiongozi wenu nyote...ndiye alikua tegemeo lenu duniani....
 
Nimejikuta nacheka, yaani makombora 500 yote hakuna hata moja limepiga popote, kwa keli waburuza dera/kanzu mnatia huruma, huyo hapo Iran ndiye kiongozi wenu nyote...ndiye alikua tegemeo lenu duniani....
😄 drones ndio nyingi yani Iran anatumia tactics ya hali ya juu na Israel anasaidiwa na Jordan na US, yule mwarabu Fala sana.


Missiles zote karibu 90% zimepiga target ni 10% ndio zimeangushwa.

Hizo drone hata atungue 500 ndio anacho taka Iran kumaliza hizo missiles za Air defence system 😄

Ziko nyingine bado njiani mchezo haujaisha bado
 
Iran anasema target yake ya pili ataishambulia Jordan akiendelea na ujinga wake wa kuilinda Israel.

Jordan kaungusha Missiles na drones zilizo kuwa zikielekea Israel.

Israel wamekiri leo tu kuangusha hizo drones na Missiles Imewacost karibu one Billion US Dollars
 
Hakuna upande wo wote unaoweza kuthibitisha! Israel inasema kuwa ni madhara kidogo yametokea na ni mtoto mmoja wa miaka 10 amejeruhiwa! Hapa ni kuthibitisha baadhi ya makombola na drones yamepenya anga ya Israel na kupiga ndani.
Iran inasema makombora yake yamefanikiwa kupiga targets ndani ya Israel lakini haijathibitisha ni uharibifu kiasi gani umesababishwa na makombora na drones yaliyopiga targets!
Mimi niseme Iran imefanikiwa kurusha makombora yake lakini hakuna matokeo ya kujivunia kwamba imelipiza kisasi!
 
Iran anasema nusu ya Missiles zake zimefika kwenye target 💯

Na wanasema katika Missiles 117 walizo rusha

Na wanasema Israel anazuia Media zisichukue sehemu zilizo pigwa


View: https://youtu.be/qzP_-jrWnOk?si=I2dcSKMoC_WlOuYG


"Iran imesema" Yaani mumekosa hata muislamu mmoja Israel mwenye simu aonyeshe walau kombora moja kati ya hizo 500 likipiga sehemu yoyote Israel.
Hii ni aibu kubwa sana kwa waislamu.
 
Back
Top Bottom