UVCCM wamtolea uvivu Alberto Msando, wamtaka awaombe radhi

Hivi nia ya chama na serikali kwa upinzan ni ipi hasa?

Huku Ccm ukiwa mzinzi, mwasherati, mlevi utasafishwa tu ukiambiwa ww ni mchapa kazi una eelimu na mwaminifu. Swala la kujiuliza ikiwa mtu so mwadilifu kwa mkewe na watt anaweza kuwa mwadilifu kwa chama? Kama anaweza akarekodiwa kwenye mzinzi je kwenye chama atafanyeje?
Msando amekwenda ccm kutskatisha utajili alionao ambao hauna maelezo.

Kisiasa Msando siyo mtaji kwa chama chochote, level yake kisiasa ni siasa za kata au jimbo tu na hana level ya kitaifa.

Hapa ccm imejiingiza mkenge kutakatisha pesa za Msando bila kujielewa.
 
Uhuni,Ufuska,Uzinzi Ngono mkuu nafikiri neno moja

lingetosha maana kosa ni hilo hilo moja ama

ulitaka kuhakikisha unasokota kabisa!na kupata point

nyingi!
 
WARAKA WA WAZI KWA MHAMIAJI NDANI YA CCM BWANA ALBERT MSANDO

Na
Kamarade Hassan Bomboko

Salaam Kwako Wakili Msomi Ndug Albert MSANDO awali ya yote Nichukue nafasi hii Kukukaribisha katika Misingi, Falsafa, Dhana, Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi "CCM" Nasita kukukaribisha ndani ya Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi "UVCCM" nikijua wazi Umri wako Umevuka Rika la kikanuni kuwa ndani ya Umoja wa Vijana wa CCM.

Najua bado una Ugeni wa mambo katika Taratibu za Kimfumo na Kimuundo Juu ya Namna Tunavyoendesha Mambo Yetu Ndani ya CCM nimekuwa nikitizama mara kwa mara katika magroup ya whatsap ukijaribu kujenga hoja kuhusu vijana wa CCM na Dhana ya RUSHWA Unayosema Imetamalaki Ndani ya UVCCM.

Juzi nimeona Pale Ukumbini wakati wa mkutano Mkuu UVCCM TAIFA Ulipokaribishwa Usalimie ukanza kuhutubia badala ya kusalimia! Kwa Vijana wa CCM hatukushangaa sababu Tuligundua ni Changamoto inayokukubali katika Itifaki

Ndug yangu Msando kwanza nianze kwa Kukutaadhalisha Ufahamu Jambo la Kuambiana Ukweli Ni Jambo La Kimuongozo ambalo lipo ndani ya Dhana ya Katiba kama Mottor yetu "Nitasema Ukweli Daima Fitina Kwangu Mwiko" Usichulie Ushauri na waraka wangu huu kama jambo Ambalo ni binafsi, Nausema Ukweli Huu Katika Dhana Ileile na Kukosoa na Kukosilewa kama Muongozo wa Mwaka1994 unavyotutaka.

Najua Wewe ni Moja ya Watu Makini na Mweledi haswa,ukizingatia ni mwamasheria Nguli kwenye Sheria Haswa Legal Method Kuna Kitu Kinaitwa Legal Research Yani Tafiti ya Kisheria na Hata Huku kusiko kwa wanasheria Kuna Kitu Kinaitwa TAFITI siku zote ni kanuni inajieleza kwamba Matokeo ya Utafiti wowote hupingwa Kwa Tafiti Nyingine ya Kisayansi iliotoa Majibu Tofauti na Yale Ni Kanuni Hii ya "NO RESEARCH NO DATA NO RIGHT TO SPEAK"* Inayotuelekeza Kama Hakuna Research Hakuna Data na kama hakuna data hakuna haki ya Kuzungumza

Ndug Albert Msando Ni Vizuri Ukajipa Muda wa kujifunza kwa kufanya Tafiti Namna Taratibu za Chama na Jumuiya Katika Uandaajeli wa TAARIFA zake

HOJA YA KWANZA KUHUSU UVCCM KUMPOTOSHA MH RAIS

[HASHTAG]#Taarifa[/HASHTAG] inapofika kwenye mkutano mkuu wa UVCCM inapitia hatua zifuatazo
Sekretarieti Uv
Kamati ya Utekelezaji
sekretariet CCM

Baada ya hapo inaenda kwenye mkutano miongoni kwa wajumbe wa kamati tekelezaji yaUVCCM ni SG wa CCM je wote hawa wamempotosha Rais?

Wakati unajenga Hoja yako ulisema "Vijana mnamdanganya Rais asitoke hapa ajue anavijana 6m wakati jeduali linasema 1.4m hai "

Elimu ndogo ujifunze taarifa za CCM zinaonyesha aina zifuatazo za wana Chama
Wananchama wote wenye Kadi
Wananchama HAI
wanachama walofariki
Wanachama waloondolewa

Ndg Msando ni sahihi kabisa tukisema UVCCM inavijana 6m lakini walio hai ni 1.4m hawa ni wale ambao wamelipa Ada zao mpaka kufikia mwezi Dec ktk matawi Yao

Kwahiyo vijana wa CCM hawajampotosha Ndg Rais Bali wewe ndo umempotosha Ndg Rais kwa kutafuta Kiki jifunze kuheshimu watu na utuombe Radhi

Ndug Albert Msando Hoja Yako ya Pili ni Vijana wa UVCCM kushibdwa Kupambana na RUSHWA NA UFISADI nilikuwa najiuliza huyu jamaa anazipata wapi hizi taarifa zake

Vijana hawa unaowatuhumu kwa Dhihaka mbele ya RAISI kwa madai ya kusema Uongo kwenye Taarifa yao na Kushindwa Kupigana na Rushwa
ndio Waliokipigania Chama Cha Mapinduzi Kwa Jasho na Damu Usiku ma Mchana Wakati Huo wewe ulikuwa Bize Kukwamisha Juhudi za Kimaendeleo Kupitia Upinzani.

Ibara ya Nane ya Kanuni ya Umoja wa Vijana Inasema Kazi ya Vijana Ni Kupekea Maelekezo kutoka Chamani na Kuyatekeleza

Wakati Vijana wa CCM wakipokea Maelekezo ya Kukilinda na Kukisemea Chama Katika Mchakato wa Kutafuta Katiba Mpya na Kusimamia Agenda ya serekali Moja wewe na Mwenyeki wako ndani ya CCM pamoja na wapinzani Wengine Msimamo wenu Ulikuwa ni Kukwamisha Juhudi za Chama Cha Mapinduzi Kuleta Maendeleo na Kusimamia Agenda mama Zenye maslai Kwa Chama na Taifa
Albert Msando Jifunze Kuheshimu Vijana wa CCM Brother Unapokuja CCM learn How To Respect Others

Taasisi ya CCM unayoiona Leo ni Nzuri na Imetengemaa ni Vijana hawa hawa unaowaona Mizigo ndio Walioijenga Miaka yote wewe na Mwenyeji wako Aliyekupandisha Jukwaani Mkiwa wapinzani wakubwa wa CCM na SEREKALI yake Jifunzeni kuwa na HESHIMA kwa Vijana wa CCM

Msando wewe unayewanyooshea Vijana wa CCM mikono Kuhusu RUSHWA ulikuwa na Mgombea wako Juzi Katika harakati wa uchaguzi wa UVCCM mlikuja nae gari moja wewe na Genge lako Kuja DODOMA mgombea Huyu Naye alituhumiwa Kwa Rushwaa Sijui Kama ulishajisafisha na Dhambi hii?

Ni hawa Vijana waliozunguka Nchi Nzima Kuinadi Sera,Ilani na Kuuza Itikadi ya Chama na Kuanzisha MAGUFULI CLUB, SAMIA CLUB walijitolea bure kabisa wakati wewe ukihamahama Mara CHADEMA Mara ACT hawa walikuwa na Jukumu la Kujenga chama na serekali ya Chama Tawala.

Jifunze kutuheshimu Vijan wa CCM wakati Wewe umebebwa Kutoka DSM kwa gari nzuri uliyolipiwa na Ruzuku ya Chama Cha Mapinduzi, Ukagharamiwa Chakula Kizuri, Hoteli nzuri ya Kulala na Posho Ukiwa dodoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uvccm, Vijana hawa walishajitolea Bure kabisa kwa Hiyari na Mapenzi yao Kuzunguka Nchi Nzima kwa mapikipiki Kukisemea Chama Kueneza Sera na msimamo wa Chama.

Ndug Albert Msando Heshimu Vijana wa CCM ili nao wakuheshimu
Historia yako ukiwa CHADEMA na Ukiwa ACT Ni Chafu na Inajulikana ! Swala la Maadili na Uadilifu sio Kuhusu Uongo na Rushwaa pekee bali Hata "UFUSKA,UHUNI UZINIFU,UASHERATI (Ngono ,Pombe)" Vyote hivi vikizidi ni Utovu wa Nidhamu.

Hii Moral Authority ya Kusimama na kuwashutumu Vijana unatoa wapi! Sio Wewe Ndug Albert Msando Uliye jiuzuri kwa skondo ya Ulevi,usherati na Ufuska kwa kujirekodi na mwanamke Anayejinasibisha kufanya biashara ya mwili wake!

Please Jiheshimu na Kwa Heshima uliyonayo kwa jamii japo ni Kidogo basi fanya hima Utuombe Radhi Msando kwanza kwa Kumpotosha RAIS na Pili kuwatuhumu vijana waCcm Kukumbatia Rushwa

hawa vijana waliomba Uanchama katika Mchakato wa kikatiba ngazi ya Tawi wakajadiliwa wakaonekana wanasifa kisha wakapewa Uanachama hawa Vijana hawakushawishiwa kujiunga CCM kwa fedha,mali au ahadi ya Vyeo wengi wao wamejitolea Muda, nguvu, mali na Maarifa yao Kukijenga Chama hiki tangu Utoto wao bila ujira kama ilivyo kwenu Ingependeza zaidi Ukiwaheshimu UVCCM

Ndugu
Bombokojr Kamarade
13/12/2017
Muheza Tanga
Nadhani asiyekosea ni mungu tu labda na mh rais wenu lakini mwanzo umeongea vzr ila baadae naona ni mihemko tu na wivu labda kwamba how come huyu mtu kaja tu na kuanza
 
Virusi vimeanza kuchachamaa.Tulieni vianze kuwa finyafinya mpaka mchanganyikiwe
 
Msando amekwenda ccm kutskatisha utajili alionao ambao hauna maelezo.

Kisiasa Msando siyo mtaji kwa chama chochote, level yake kisiasa ni siasa za kata au jimbo tu na hana level ya kitaifa.

Hapa ccm imejiingiza mkenge kutakatisha pesa za Msando bila kujielewa.
Msando siasa hawez hata kidogo. Toka chuo alikuwa ni mtu asiye na dira wala mwelekeo. Alipokuwa spika wa bunge la chuo hakufanya lolote zaidi ya kuongeza mabinti na kula pesa zadaruso.

Huku mtaani nikajua atabadilika lkn ukweli hajawah kubadilika zaidi ya kujipatia fedha kwa njia azijuazo yy na siasa ambazo zilimshinda
 
Huyu Msando hawa UVCCM lazima wamtoe kamasi...tatizo Msando anapenda sana kiki,sasa lazima wamvunje mguu...
 
Msando kasema ukweli mnasahau wakati huo wa uchaguzi aliyekuwa mwenyekiti aliyekuwa anamaliza muda wake alikuwa anashikiliwa na takukuru kwa kutoa rushwa? Muungane na msando na Mhe Rais muoondoe rushwa ndani ya ccm wala siyo kujitetea na kuonyesha kama msando kakosea ndani ya chaguzi za ccm yetu kuna mambo ya rushwa yaliyokithiri na kupitiliza wala msando hakubahatisha na wala siyo kiki mbele ya rais kaeni mkijua hivyo na mchukue hatua mbadilike.
 
Msando kweli kazidi kiherehere sana anajifanya anaijua CCM kupita sisi wakongwe na makada wa muda mrefu.....mtu mwenyewe muhuni tu hamjui Magufuli huyu kesho tu atafungiwa vioo hataamini....amuulize Nape!
Tulia wewe njaa kali mteule wa magu afanye yake!

Nyie makada uchwara mmeshapitwa na wakati
 
WARAKA WA WAZI KWA MHAMIAJI NDANI YA CCM BWANA ALBERT MSANDO

Na
Kamarade Hassan Bomboko

Salaam Kwako Wakili Msomi Ndug Albert MSANDO awali ya yote Nichukue nafasi hii Kukukaribisha katika Misingi, Falsafa, Dhana, Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi "CCM" Nasita kukukaribisha ndani ya Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi "UVCCM" nikijua wazi Umri wako Umevuka Rika la kikanuni kuwa ndani ya Umoja wa Vijana wa CCM.

Najua bado una Ugeni wa mambo katika Taratibu za Kimfumo na Kimuundo Juu ya Namna Tunavyoendesha Mambo Yetu Ndani ya CCM nimekuwa nikitizama mara kwa mara katika magroup ya whatsap ukijaribu kujenga hoja kuhusu vijana wa CCM na Dhana ya RUSHWA Unayosema Imetamalaki Ndani ya UVCCM.

Juzi nimeona Pale Ukumbini wakati wa mkutano Mkuu UVCCM TAIFA Ulipokaribishwa Usalimie ukanza kuhutubia badala ya kusalimia! Kwa Vijana wa CCM hatukushangaa sababu Tuligundua ni Changamoto inayokukubali katika Itifaki

Ndug yangu Msando kwanza nianze kwa Kukutaadhalisha Ufahamu Jambo la Kuambiana Ukweli Ni Jambo La Kimuongozo ambalo lipo ndani ya Dhana ya Katiba kama Mottor yetu "Nitasema Ukweli Daima Fitina Kwangu Mwiko" Usichulie Ushauri na waraka wangu huu kama jambo Ambalo ni binafsi, Nausema Ukweli Huu Katika Dhana Ileile na Kukosoa na Kukosilewa kama Muongozo wa Mwaka1994 unavyotutaka.

Najua Wewe ni Moja ya Watu Makini na Mweledi haswa,ukizingatia ni mwamasheria Nguli kwenye Sheria Haswa Legal Method Kuna Kitu Kinaitwa Legal Research Yani Tafiti ya Kisheria na Hata Huku kusiko kwa wanasheria Kuna Kitu Kinaitwa TAFITI siku zote ni kanuni inajieleza kwamba Matokeo ya Utafiti wowote hupingwa Kwa Tafiti Nyingine ya Kisayansi iliotoa Majibu Tofauti na Yale Ni Kanuni Hii ya "NO RESEARCH NO DATA NO RIGHT TO SPEAK"* Inayotuelekeza Kama Hakuna Research Hakuna Data na kama hakuna data hakuna haki ya Kuzungumza

Ndug Albert Msando Ni Vizuri Ukajipa Muda wa kujifunza kwa kufanya Tafiti Namna Taratibu za Chama na Jumuiya Katika Uandaajeli wa TAARIFA zake

HOJA YA KWANZA KUHUSU UVCCM KUMPOTOSHA MH RAIS

[HASHTAG]#Taarifa[/HASHTAG] inapofika kwenye mkutano mkuu wa UVCCM inapitia hatua zifuatazo
Sekretarieti Uv
Kamati ya Utekelezaji
sekretariet CCM

Baada ya hapo inaenda kwenye mkutano miongoni kwa wajumbe wa kamati tekelezaji yaUVCCM ni SG wa CCM je wote hawa wamempotosha Rais?

Wakati unajenga Hoja yako ulisema "Vijana mnamdanganya Rais asitoke hapa ajue anavijana 6m wakati jeduali linasema 1.4m hai "

Elimu ndogo ujifunze taarifa za CCM zinaonyesha aina zifuatazo za wana Chama
Wananchama wote wenye Kadi
Wananchama HAI
wanachama walofariki
Wanachama waloondolewa

Ndg Msando ni sahihi kabisa tukisema UVCCM inavijana 6m lakini walio hai ni 1.4m hawa ni wale ambao wamelipa Ada zao mpaka kufikia mwezi Dec ktk matawi Yao

Kwahiyo vijana wa CCM hawajampotosha Ndg Rais Bali wewe ndo umempotosha Ndg Rais kwa kutafuta Kiki jifunze kuheshimu watu na utuombe Radhi

Ndug Albert Msando Hoja Yako ya Pili ni Vijana wa UVCCM kushibdwa Kupambana na RUSHWA NA UFISADI nilikuwa najiuliza huyu jamaa anazipata wapi hizi taarifa zake

Vijana hawa unaowatuhumu kwa Dhihaka mbele ya RAISI kwa madai ya kusema Uongo kwenye Taarifa yao na Kushindwa Kupigana na Rushwa
ndio Waliokipigania Chama Cha Mapinduzi Kwa Jasho na Damu Usiku ma Mchana Wakati Huo wewe ulikuwa Bize Kukwamisha Juhudi za Kimaendeleo Kupitia Upinzani.

Ibara ya Nane ya Kanuni ya Umoja wa Vijana Inasema Kazi ya Vijana Ni Kupekea Maelekezo kutoka Chamani na Kuyatekeleza

Wakati Vijana wa CCM wakipokea Maelekezo ya Kukilinda na Kukisemea Chama Katika Mchakato wa Kutafuta Katiba Mpya na Kusimamia Agenda ya serekali Moja wewe na Mwenyeki wako ndani ya CCM pamoja na wapinzani Wengine Msimamo wenu Ulikuwa ni Kukwamisha Juhudi za Chama Cha Mapinduzi Kuleta Maendeleo na Kusimamia Agenda mama Zenye maslai Kwa Chama na Taifa
Albert Msando Jifunze Kuheshimu Vijana wa CCM Brother Unapokuja CCM learn How To Respect Others

Taasisi ya CCM unayoiona Leo ni Nzuri na Imetengemaa ni Vijana hawa hawa unaowaona Mizigo ndio Walioijenga Miaka yote wewe na Mwenyeji wako Aliyekupandisha Jukwaani Mkiwa wapinzani wakubwa wa CCM na SEREKALI yake Jifunzeni kuwa na HESHIMA kwa Vijana wa CCM

Msando wewe unayewanyooshea Vijana wa CCM mikono Kuhusu RUSHWA ulikuwa na Mgombea wako Juzi Katika harakati wa uchaguzi wa UVCCM mlikuja nae gari moja wewe na Genge lako Kuja DODOMA mgombea Huyu Naye alituhumiwa Kwa Rushwaa Sijui Kama ulishajisafisha na Dhambi hii?

Ni hawa Vijana waliozunguka Nchi Nzima Kuinadi Sera,Ilani na Kuuza Itikadi ya Chama na Kuanzisha MAGUFULI CLUB, SAMIA CLUB walijitolea bure kabisa wakati wewe ukihamahama Mara CHADEMA Mara ACT hawa walikuwa na Jukumu la Kujenga chama na serekali ya Chama Tawala.

Jifunze kutuheshimu Vijan wa CCM wakati Wewe umebebwa Kutoka DSM kwa gari nzuri uliyolipiwa na Ruzuku ya Chama Cha Mapinduzi, Ukagharamiwa Chakula Kizuri, Hoteli nzuri ya Kulala na Posho Ukiwa dodoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uvccm, Vijana hawa walishajitolea Bure kabisa kwa Hiyari na Mapenzi yao Kuzunguka Nchi Nzima kwa mapikipiki Kukisemea Chama Kueneza Sera na msimamo wa Chama.

Ndug Albert Msando Heshimu Vijana wa CCM ili nao wakuheshimu
Historia yako ukiwa CHADEMA na Ukiwa ACT Ni Chafu na Inajulikana ! Swala la Maadili na Uadilifu sio Kuhusu Uongo na Rushwaa pekee bali Hata "UFUSKA,UHUNI UZINIFU,UASHERATI (Ngono ,Pombe)" Vyote hivi vikizidi ni Utovu wa Nidhamu.

Hii Moral Authority ya Kusimama na kuwashutumu Vijana unatoa wapi! Sio Wewe Ndug Albert Msando Uliye jiuzuri kwa skondo ya Ulevi,usherati na Ufuska kwa kujirekodi na mwanamke Anayejinasibisha kufanya biashara ya mwili wake!

Please Jiheshimu na Kwa Heshima uliyonayo kwa jamii japo ni Kidogo basi fanya hima Utuombe Radhi Msando kwanza kwa Kumpotosha RAIS na Pili kuwatuhumu vijana waCcm Kukumbatia Rushwa

hawa vijana waliomba Uanchama katika Mchakato wa kikatiba ngazi ya Tawi wakajadiliwa wakaonekana wanasifa kisha wakapewa Uanachama hawa Vijana hawakushawishiwa kujiunga CCM kwa fedha,mali au ahadi ya Vyeo wengi wao wamejitolea Muda, nguvu, mali na Maarifa yao Kukijenga Chama hiki tangu Utoto wao bila ujira kama ilivyo kwenu Ingependeza zaidi Ukiwaheshimu UVCCM

Ndugu
Bombokojr Kamarade
13/12/2017
Muheza Tanga
Hakuna lolote la maana uliloandika..ni upuuzi mtupu! kuna maana gani kusoma idadi ya wanachama hata na waliofariki?? kati ya jumuiya za chama zilizokuwa taabani kwa ccm ya 2015 kurudi nyuma UVCCM ndiyo ya kwanza, rushwa, ubinafsi, wivu, majungu ndiyo zilikuwa sifa za jumuiya hii..kitendo cha kiongozi wa juu kabisa kama m/kiti kuhusika na tuhuma za rushwa ni taswira mbaya kabisa kwa jamii..wala hamstahili kuaminiwa kwa lolote, na nakwambia ni vile tu M/Kiti wa CCM ana uvumilivu ningekuwa mimi ilikuwa bora kuifuta na kuanza na vijana wapya! Taja jipya lolote ambalo UVCCM wanaweza sifiwa kwalo..NOTHING! uvccm imejaza watu rojo rojo, dhaifu kwa hoja labda ubishi na mipasho..na kuvizia fursa za vyeo..hakuna kitu!
 
Chimbuko na Baba la Rushwa CCM ni umoja wa vijana. Mwenyekiti wa CCM amejitahidi safari hii kwa uongozi wa juu wa umoja wa vijana usitokee kwenye zalio la Rushwa
 
Uenda waliokaa CCM muda mrefu awafurahishwi na kuona wanaingia CCM sasa wanapewa heshima zaid yao
Kiubinadamu inauma sema wajifunze
 
Teh upinzani hana nafasi na ccm alikohamia nako kunawaka moto

Mbwa kala mbwa

Ila Magufuli asivyo eleweka anaweza kabisa kumteua Msando ili kuwaonyesha Uvccm kwamba yeye hapangiwi kitu
 
Back
Top Bottom