Utofauti wa gesi ya ORYX gesi na kampuni nyingne

Kadri siku zinavyozidi kwenda biashara ya gesi itakuja kulipa sana, kwani matumizi ya gesi imekuwa kituxha kawaida sasa na itazidi kuwa kawaida muda sio mwingi, wataowekeza kwenye sekta hii, wataluja kuupiga mwingi sana baadae
 
Habari ndugu zangu,leo nilikuwa naulizia bei ya gesi mtungi mdogo Oryx upo juu sana kwa bei ya sh 25000/= Mihan na oli ges 21000/= ,mtungi mkubwa 58000/= oryx na kampuni nyingne 53000/= ,Sasa swali langu ni kwamba utofauti wake upo kwenye nini ?, Naomba anaejua anijuze tafadhali ili nitambue ubora wake tofauti na makampuni mengne .
Haina tofauti. Lakini Oryx nadhani walikuwa wa kwanza sokoni na hivyo wengi tuna mitungi hiyo. Hivyo wanauzia jina na idadi ya watu wenye mitungi yao
 
Tulitumia mtungi wa mihani gas ikipungua sana haiwaki vizur, tulipo switch oryx aisee inawaka hadi mwisho ...kitu kingine orxy inachelewa sana kuisha sjui huwa wanajazaje...maana by experience nmetumia mitung kama ya KAMPUNI 3..lkn oryx ina good quality and quantity na hii ndo sababu ya kuwa bei juu
 
Acha uongo!
 
Back
Top Bottom