Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Duh ukihoji kwa undani utapata shida tu
 
Hivi ni kweli Lowassa alikuja Chadema kutaka ukombozi wa mdanganyika dhidi ya mtanganyika au alitaka walichopanga kipindi hicho kitimie mambo waliofanya bado siamini kama tutapata ukombozi kwa kuwabeba makapi kutoka ccm.

Aikael tunakuomba umuambie Lowassa apumzike anatuondoa kwenye malengo yetu ya kupata uhuru wetu wa kweli. Kikwete ni mjanja sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
Kabla ya kuwaza hivyo kumhusu Lowassa anza pia kuwaza kwanza kuhusu Dr. Slaa na Profesa Lipumba walikuwa ni wapinzani halisi, huku ukizingatia hao ndio ambao walikuwa nguzo kuu ya asili ya upinzani kabla ya Lowassa kuhamia upinzani na mmoja wapo alikuwa apeperushe bendera ya UKAWA nini waliwafanyia watanzania mwaka 2015 ambacho bado mpaka leo wanakiendeleza dhidi ya upinzani?

Kabla ya wewe kumwomba Aikaeli ampumzishe Lowassa, anza kwanza kumshauri Aikaeli amrejeshe Dr.Slaa kama unadhani siasa ni 1+1=2.
 
Nimeamini jamiiforum kisima cha habari hii habari nilikuwanaitaka sana wapeni vijana wajuwe .sasa naombeni mtupe Uzi Wa BABU SEYA hivi ile kesi ilikuwa kweli au kuna mambo nyuma ya panzia swali na kama kesi ni kweli kwann raisi MAGUFURI awasamehe ndio tunarudi nyuma kwamba inshu ya BABU SEYA kuna kitu kimejificha
Issues ya babu Seya uongo mtupu nilikutana na mmoja ya watu waliounganishiwa kwenye kesi ila jamaa alichomoka
Picha lilichezwa tu pale
Kuna mahakimu walijitoa
Kuna maagizo walikuwa wanapewa na watu wasiojulikana
Ni hatari tupu
 
Nimeamini jamiiforum kisima cha habari hii habari nilikuwanaitaka sana wapeni vijana wajuwe .sasa naombeni mtupe Uzi Wa BABU SEYA hivi ile kesi ilikuwa kweli au kuna mambo nyuma ya panzia swali na kama kesi ni kweli kwann raisi MAGUFURI awasamehe ndio tunarudi nyuma kwamba inshu ya BABU SEYA kuna kitu kimejificha
.....Unaharibu uzi wa watu, babu Seya anaingiaje hapa?
 
Anaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoahughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Asante sana
 
Hivi ni kweli Lowassa alikuja Chadema kutaka ukombozi wa mdanganyika dhidi ya mtanganyika au alitaka walichopanga kipindi hicho kitimie mambo waliofanya bado siamini kama tutapata ukombozi kwa kuwabeba makapi kutoka ccm.

Aikael tunakuomba umuambie Lowassa apumzike anatuondoa kwenye malengo yetu ya kupata uhuru wetu wa kweli. Kikwete ni mjanja sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
Issue ya EL kwenda CDM ni sehemu ya karma pia kwaajili ya CCM!! Mkuu endelea na main content usihamishe mada!!
 
Anaitwa Imran Kombe, alipigwa Risasi 14 kifuani na Askari wa Jeshi la Polisi kwa Madai ya kufafanisha gari aliyokuwemo na iliyoibiwa!
Sina Immunity ya kutoahughulikiwa ndio sababu sitofunguka zaid Mkuu
Kweli ukali bado mzuri sana
 
Imran Kombe, alipigiwa risasi maeneo ya Maili Sita, Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, akidhaniwa ni jambazi.

Mkewe anaitwa Roseleen Kombe.

Kwa wale wasomi wa sheria watakuwa wameiona hii kesi katika Criminal and Civil.

Ila wauaji waliachiwa kwa msamaha mwaka 2012 kama sikosei.

Ila hawakuachiwa wakati wa sherehe ya kitaifa

2006 Jakaya alibadilisha kutoka kunyongwa mpaka kifungo cha Maisha

2012 wakaachiwa kwa Msamaha lakini yote hayo haya kuwa kwenye front page za Magazeti kwa kuwa Mtawala wa wakati huo alikuwa anajua ingeamsha Mjadala wa Imran Kombe namna alivyotutoka.

Ingekuwa Zama hizi sijui ingekuaje?
 
Back
Top Bottom