Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

Nimeamini jamiiforum kisima cha habari hii habari nilikuwanaitaka sana wapeni vijana wajuwe .sasa naombeni mtupe Uzi Wa BABU SEYA hivi ile kesi ilikuwa kweli au kuna mambo nyuma ya panzia swali na kama kesi ni kweli kwann raisi MAGUFURI awasamehe ndio tunarudi nyuma kwamba inshu ya BABU SEYA kuna kitu kimejificha
Mwinyi nae alikuja kuwaachia huru waliotaka kumpindua Nyerere kwahiyo alichofanya Chato man siyo ngeni katika siasa za huko nchini. Swali la msingi je walitenda hilo kosa?

Waziri wa kidiplomasia nchini kwa wakati alisema atahakikisha familia ya Nguza Viking inafia jela akatafuta na wanaharakati za haki za kibinadamu jamaa akapelekwa pale Ukonga. Ila sababu kubwa mcongo huyo aliingilia maslahi ya mtalii huyo aliyedumu kwa muongo moja kama boss wetu.

Alichokosea mzee alitaka kumpitia na mke wa PM wa kipindi hicho ndo maana ilipokuja kudakwa pm alimuambia huyo kanali kuwa we mpeleke tukichanganya na rushwa na msosi waliopigwa wale madogo hapo Sinza wakatunga uongo eti wameliwa tigo labda waliwachanganyia bangi za kapachino.

Babu Seya yupo huru ila afya na maisha ya jela life span imeshadorora.
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Mmh!
 
Mwinyi nae alikuja kuwaachia huru waliotaka kumpindua Nyerere kwahio alichofanya chato man siyo ngeni katika siasa za huko nchini . Swali la msingi je walitenda hilo kosa ?

Waziri wa kidiplomasia nchini kwa wakati alisema atahakikisha familia ya Nguza Viking inafia jela akatafuta na wanaharakati za haki za kibinadamu jamaa akapelekwa pale Ukonga . Ila sababu kubwa mcongo huyo aliingilia maslahi ya mtalii huyo aliedumu kwa muongo moja kama boss wetu.

Alichokosea mzee alitaka kumpitia na mke wa pm wa kipindi hicho ndo mana ilipokuja kudakwa pm alimuambia huyo kanali kuwa we mpeleke tukichanganya na rushwa na msosi waliopigwa wale madogo hapo sinza wakatunga uongo eti wameliwa tigo labda waliwachanganyia bangi za kapachino.

Babu seya yupo huru ila afya na maisha ya jela life span imeshadorora.

Mkuu bado hujanishawishi inshu ya BABU SEYA naona Hamna mausiano na KIKWETE ila siasa tu imeingizwa labda nikuulize swali hivi inshu ya SEYA haina mahusiano na siasa za Kongo kwa kabila maana baada ya BABU SEYA kutoka jela baada ya week kama tatu nne hivi tukapata msiba huko Kongo wanajeshi wetu 12 wameuwawa na wengine kama 40 majeruhi huoni kama kuna kitu nyuma ya panzia
 
Nimeamini jamiiforum kisima cha habari hii habari nilikuwanaitaka sana wapeni vijana wajuwe .sasa naombeni mtupe Uzi Wa BABU SEYA hivi ile kesi ilikuwa kweli au kuna mambo nyuma ya panzia swali na kama kesi ni kweli kwann raisi MAGUFURI awasamehe ndio tunarudi nyuma kwamba inshu ya BABU SEYA kuna kitu kimejificha
tulia tumalize hili la Dr Omary
 
Watu wanasahau tu ila Museveni ni mtu mbaya sana sumu iliopaswa imuue moja kwa moja baada ya kutoka kwenye ziara pale Kilwa Road kwenye sabasaba hatimae ikammaliza daktari wa mifugo kutoka huko Pemba.

Ni nani aliediverge hii issue na hatimae kuondoka na Dr Omary deceased ? Tanzania kuna mengi ila Museveni was planted to rest in hell before things change during that time 13 : 00 , 4/7/2001.

Ngoja nimalizie kunywa spirit iniondolee baridi maana nashindwa kuandika.
Omary Ali Juma aliuwawa na lile kundi mashuhuri la boyz2men
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
Mkuu hivi hata wewe hujui uhusika wa boys2Men? Basi ulikua mtoto.
 
Hizi mambo bwana; chukulia ndege wako sehemu kwenye foleni na unajua kabisa pale umewekwa mtego wa kunasa ndege watatu. Sasa katika kujipanga yule aliyedhaniwa kuwa atakuwa watatu na ndiye anayetarajiwa kunaswa akapata machale asiende.

Badala yake unaamriwa usogee wewe na huwezi kukataa. Mwisho wa siku unajitosa huku ukijua kuwa baada ya hapo unakuwa umenaswa.

Ndivyo ilivyo sometimes kwa ndege warukao pamoja.
 
Mkuu bado ujanishawishi inshu ya BABU SEYA naona Hamna mausiano na KIKWETE ila siasa tu imeingizwa .labda nikuhulize swali hivi inshu ya SEYA haina mahusiano na siasa za Kongo kwa kabila maana baada ya BABU SEYA kutoka jera baada ya week kama tatu nne hivi tukapata msiba huko Kongo wanajeshi wetu 12 wameuwawa na wengine kama 40 majeruwi uwoni kama kuna kitu nyuma ya panzia
Mkuu hao wanajeshi wameuawa na Kagame akiishirikiana na Museveni. Babu Seya is no body in Congo politics. Turudi kwenye mada. Dr Omary alikufa kifo kitatanishi sana.
 
Back
Top Bottom