Utafiti mpya wa reliability ya magari, BMW imeshika namba 3 USA

MKIBAIGWA

JF-Expert Member
May 25, 2017
520
1,207
IMG_1642.jpg

IMG_1641.jpg
 
Hizo takwimu zimeandliwa na time ya uchaguzi?
BMW inashika nafasi ya 3? Au inawezekana BMW zinazouzwa marekani ni tofauti na hizi zinazoahinda garage kilasiku.

Wazungu wanajiuliza kilasiku inakuaje Toyota anatengeneza magari imara kama treni wanakosa majibu ndiyo maana kampuni ya Toyota bado imegoma kutengeneza magari ya umeme Hadi Leo na kulikuwa na ubishani mkubwa kwenye kampuni ya Toyota namna gani wataingia kwenye ulimwenguni wa EV's.

Baada ya research ya muda mrefu kampuni ya Toyota wamependekeza utumiaji wa HYDROGEN CELLS badala ya UMEME kitu ambacho hata Mimi nakubaliana nao
 
Huenda takwimu za jecha
 
Hii report yako haihusiani na reliability Usiwalishe matangopori watu!
HIyo ni report ya brand ambazo ziko nq reputation (Sifa/umaarufu) zaidi.
Consumer report hii hapa orodha yao ya brand ambazo ziko more reliable zaidi duniani
 
Kibongo bongo bado BMW sio gari ya kila mtu. Oil fake, petrol ina lots of contaminants, temperature iko juu, parts fake ukifunga after a while zinazingua, ingawa ni chuma unyama sana
Bongo ni shida Sana kilakitu ni fake fake Tu..unaweza kutumia spares original ukaenda kupigwa kwenye mafuta yaliyochakachuliwa
 
Back
Top Bottom