Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,090
- 144,541
Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe wa Simba ni kama wameshakata tamaa.
Hata hivyo, ni hatari zaidi kwa mustakabali wa Simba iwapo Simba itafungwa kuliko kama Yanga akifungwa. Kwa lugha nyinine, Simba akifungwa, madhara yanaweza kuwa makubwa wakati Yanga akifungwa, itachukuliwa tu ni moja ya matokeo ya mchezo wa soka na Yaga itabaki salama.
Nayasema haya kutokana na mwenendo mzima wa timu ya Simba kwenye ligi na katika mechi za kimataifa hasa katika michezo ya hivi karibuni na reaction ya mashabiki wa Simba kwa viongozi wa Club na mfddhili wa club yao, MO Dewji.
Hivyo kutokana na hofu na zaidi ili kuondoa aibu na kunusura hali ya mambo katika club mojawapo, sitashangaa kuona mechi ikishindikana kuchezwa na mtu kupewa point za bure na baadae issue nzima kumalizwa kiaina aina au mchezo kuvunjika kwa timu mojawapo kuweka mpira kwapani ili tu kuoko club mojawapo na viongozi wake ambao mpaka sasa wako katika hali mbaya kutokana na pessure na kelele za mashabiki wa timu yao.
Msije kesuma sikuwaambia.