Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,940
- 3,676
Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati
Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na hawakuishia hapo wakapeleka ombi serekalini
Uongozi wa simba hawakua na mkakati wowote ule wa kupeleka mashabiki misri leo hii serekali imekubali kuipa Yanga nguvu wananalamika inapendelewa hapana uongozi wao umelala usingizi wa pono yaani serekali ndo ikufuate ikuombe kupeleka mashabiki misri hapana usipokua mtu wa kujiongeza utafeli sana kwenye maisha au utasubiri sana
Uongozi wa simba unatakiwa ufahamu fursa inatafutwa na ni mara chache sana inakufuata- simba walishacheza mara tofauti South Afrika robo fainal (vs kaizer chiefs, na orland pirates ) lakin hawajawah kuwaomba msaada kwa serekali wa kupeleka mashabiki wao south afrika