Usitengeneze kawaida dari la nyumba yako, karibu tukupendezeshee

IMG_20221123_173255.jpg
 
bei inaathiriwa na vitu vingi.

1. Ukubwa sehemu unakufungwa(nyumba/chumba)
2. Design ya decoration husika (zinatofautiana bei)

Ila kwa tips ndogo kama unahitaji nyumba yako yote iwe na urembo kila sehemu bei inaanzia million 1.2. kwa nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, korido jiko na sebule. (zingatia bei pia inaathiriwa na aina ya urembo utazochagua)
Hizo picha umeweka sema mlifanya kwa bei gani, then sisi tutajua kwetu itakuwa ngapi.
 
bei inaathiriwa na vitu vingi.

1. Ukubwa sehemu unakufungwa(nyumba/chumba)
2. Design ya decoration husika (zinatofautiana bei)

Ila kwa tips ndogo kama unahitaji nyumba yako yote iwe na urembo kila sehemu bei inaanzia million 1.2. kwa nyumba ya vyumba vitatu vya kulala, sebule, dining, korido jiko na sebule. (zingatia bei pia inaathiriwa na aina ya urembo utazochagua)
Hii bei ya milioni 1.2 ni kwa vyumba vyote au chumba kimoja?
 
Back
Top Bottom