Ushuhuda: Inanigharimu kurudi kula chakula cha nyumbani ila sijutii, Migahawa kutokaguliwa wanachopika ni hatari kiafya usipokuwa makini

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,862
Muhimu: Sio migahawa yote, Ni baadhi ya migahawa

kwa takriban miaka sita niliweza kula vyakula mtaani migahawani pindi niwapo kazini asubuhi na mchana na hapa naleta mrejesho kwa yaliyonipata.

Ni mara nyingi sana nimewahi kuharisha kwa kula vyakula vya migahawani , tumbo kuuma, n.k.

baada ya miaka sita niliona niwe narudi tu nyumbani nakula chakula cha nyumbani, kiukweli matatizo ya kuharisha, tumbo kuuma, yamebaki kuwa historia

Vyakula vinavyouzwa migahawani ili kutengenezea watu faida vinaweza kuwa hatari sana hasa ukizingatia hakunaga kitengo kinachokagua usalama wa vyakula.

Mfanyabiashara anachowaza ni faida, ni kama kwenye nguo unaweza ambiwa hii nguo ni original, unalipi ila ukifua mara 2 ama mara 3 shughuli imeisha hapo, basi ndivyo ilivyo kwenye biashara hata za vyakula, wapo wanaojali faida zaidi,

Hasa kwenye nyama hapa uwe makini mno! kuna namna ya kupata nyamma za bei rahisi ili kupata faida kubwa, usipokuwa makini hapa utazila sana.

Suala la faida linafanya hata chakula cha jana kama hakikuuzika basi kinachanganywa na cha kesho yake.

kuhusu kujali usafi wakati wa mapishi nako kuna wengine usafi ni sifuri kwakweli, hata sitaki kuyazungumza ila uchafu anaekula ni mteja na jiyo yote ni sababu anaekula ni mteja.
 
Migahawa tunayoitumia ni vile tu hatuna pakwenda kupata chakula, kuugua matumbo limeshakuwa ni janga.

Kulingana na mazingira ya kazi na umbali, inakuwa ni vigumu kurudi nyumbali ukale kisha uendelee na kazi.

Bwana Afya na Bibi Afya acheni kukaa maofisini, piteni kwenye hii migahawa maana wanafanya biashara kwa mazoea.
 
Tena kipindi hiki Cha nzi hàwawafukuzi wakati wanaandaa chakula, nilishawahi ona mtu anaandaa kacholi, kashazivingirisha madunguli Sasa zinasubiri kukaangwa, kaziweka kwenye sahani afu sahani kaificha chini ya meza ,kacholi ziko wazi ,hao nzi walivyojaa hapo, achaaa nasemaje achaaa.
 
Njia nzuri kujitayarishia/kutayarishiwa chakula nyumbani unabeba kwenye containers km vile unaenda shule. Hii inapunguza gharama pia, unapata uhakika wa kula chakula kisafi

Angalizo kwa mnaopenda kula vyakula kwenye migahawa, kama inashindikana kabisa kubeba food from home basi jitahidi sana kutokula vyakula vya mafuta, Eg. Maandazi, vitumbua na chapati au marosti, huko ndio tunafeli sana. Hivyo vyakula vinapikiwa mafuta machafu sana kama utayaona utaapa kutokula tena migahawani. Na ndio chanzo kikubwa cha maradhi haya ya siku hizi mafigo na maini.
 
Na kipindupindu tayari kipo
 
Mi baada ya kuona jinsi wanavyonunua nyanya mbovu

Jinsi wanavyopika na mafuta machafu

Jinsi wanavyotengeneza juisi na matunda mabovu afu wanajaza maji ya bomba na sukari

Jinsi juisi za miwa zinavyotiwa barafu chafu

Jinsi mboga za majani zilivyochafu.

Naogopa sana kula kwa Mama Ntilie au kununua Chips
 
Muhimu: Sio migahawa yote, Ni baadhi ya migahawa

kwa takriban miaka sita niliweza kula vyakula mtaani migahawani pindi niwapo kazini asubuhi na mchana na hapa naleta mrejesho kwa yaliyonipata.

Ni mara nyingi sana nimewahi kuharisha kwa kula vyakula vya migahawani , tumbo kuuma, n.k.

baada ya miaka sita niliona niwe narudi tu nyumbani nakula chakula cha nyumbani, kiukweli matatizo ya kuharisha, tumbo kuuma, yamebaki kuwa historia

Vyakula vinavyouzwa migahawani ili kutengenezea watu faida vinaweza kuwa hatari sana hasa ukizingatia hakunaga kitengo kinachokagua usalama wa vyakula.

Mfanyabiashara anachowaza ni faida, ni kama kwenye nguo unaweza ambiwa hii nguo ni original, unalipi ila ukifua mara 2 ama mara 3 shughuli imeisha hapo, basi ndivyo ilivyo kwenye biashara hata za vyakula, wapo wanaojali faida zaidi,

Hasa kwenye nyama hapa uwe makini mno! kuna namna ya kupata nyamma za bei rahisi ili kupata faida kubwa, usipokuwa makini hapa utazila sana.

Suala la faida linafanya hata chakula cha jana kama hakikuuzika basi kinachanganywa na cha kesho yake.

kuhusu kujali usafi wakati wa mapishi nako kuna wengine usafi ni sifuri kwakweli, hata sitaki kuyazungumza ila uchafu anaekula ni mteja na jiyo yote ni sababu anaekula ni mteja.
Naomba eleza kwa kirefu kidogo hapo kwenye nyama tafadhali.......eleza wazi bila tafsida wala nini, yaani 'live' bila chenga. Natamani sana kujua hapo kwakweli........wanatutesa sana!
 
Mi baada ya kuona jinsi wanavyonunua nyanya mbovu

Jinsi wanavyopika na mafuta machafu

Jinsi wanavyotengeneza juisi na matunda mabovu afu wanajaza maji ya bomba na sukari

Jinsi juisi za miwa zinavyotiwa barafu chafu

Jinsi mboga za majani zilivyochafu.

Naogopa sana kula kwa Mama Ntilie au kununua Chips
Hizo chips ndio hazisemeki. Twafaa
 
Unaweza kuanza fast ya One Meal A Day (OMAD). Unakula jioni mara moja kwa siku muda ulobaki unatumia green tea na maji
Unapunguza gharama, uzito , unakuwa na afya njema mwili unapumzika kufanya digestion kila wakati na kuwa na unapata muda wa kupumzika
 
Mno ivoo. Na wengine tunavyojidanganya eti ile migahawa ya vyakula bei ghali ndio wasafi, na kwa vile hatuoni huko jikoni tu.

Ukumbini pasafi, lkn huko kwa fundi mitambo sasa...hatari na nusu

Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo
 
Tena kipindi hiki Cha nzi hàwawafukuzi wakati wanaandaa chakula, nilishawahi ona mtu anaandaa kacholi, kashazivingirisha madunguli Sasa zinasubiri kukaangwa, kaziweka kwenye sahani afu sahani kaificha chini ya meza ,kacholi ziko wazi ,hao nzi walivyojaa hapo, achaaa nasemaje achaaa.
Duuu! Sio mchezo, alafu mlaji anasifia hizo kachori balaa!
 
Muhimu: Sio migahawa yote, Ni baadhi ya migahawa

kwa takriban miaka sita niliweza kula vyakula mtaani migahawani pindi niwapo kazini asubuhi na mchana na hapa naleta mrejesho kwa yaliyonipata.

Ni mara nyingi sana nimewahi kuharisha kwa kula vyakula vya migahawani , tumbo kuuma, n.k.

baada ya miaka sita niliona niwe narudi tu nyumbani nakula chakula cha nyumbani, kiukweli matatizo ya kuharisha, tumbo kuuma, yamebaki kuwa historia

Vyakula vinavyouzwa migahawani ili kutengenezea watu faida vinaweza kuwa hatari sana hasa ukizingatia hakunaga kitengo kinachokagua usalama wa vyakula.

Mfanyabiashara anachowaza ni faida, ni kama kwenye nguo unaweza ambiwa hii nguo ni original, unalipi ila ukifua mara 2 ama mara 3 shughuli imeisha hapo, basi ndivyo ilivyo kwenye biashara hata za vyakula, wapo wanaojali faida zaidi,

Hasa kwenye nyama hapa uwe makini mno! kuna namna ya kupata nyamma za bei rahisi ili kupata faida kubwa, usipokuwa makini hapa utazila sana.

Suala la faida linafanya hata chakula cha jana kama hakikuuzika basi kinachanganywa na cha kesho yake.

kuhusu kujali usafi wakati wa mapishi nako kuna wengine usafi ni sifuri kwakweli, hata sitaki kuyazungumza ila uchafu anaekula ni mteja na jiyo yote ni sababu anaekula ni mteja.

Labda budget yako kwa chakula cha mchana kwa siku ilikuwa kiasi gani? Ili tuweze kusaidika na kueleweka.
 
Unaweza kuanza fast ya One Meal A Day (OMAD). Unakula jioni mara moja kwa siku muda ulobaki unatumia green tea na maji
Unapunguza gharama, uzito , unakuwa na afya njema mwili unapumzika kufanya digestion kila wakati na kuwa na unapata muda wa kupumzika
Ndo nimefanya kwa miezi miwili yaan huwez amini mwili unajisikia fresh na huli ovyo ovyo huwa nabeba smoothie basi.Nimepungua 12kg bila mazoezi wala nini
 
Back
Top Bottom