Ushawahi kutongozwa na Shoga? Yamenikuta leo wakuu

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,077
18,119
Nipo zangu facebook juzi kwanza nikaona messeji inbox inaanza na "hi" kucheki nikaijibu baada ya muda huyo mtu akatuma friend request nikaona ni rafiki tu kama marafiki wengine nimechat nae anaanza kuniita " my" nikamuuliza we chalii una maana gani akasema oooh hakuna shida.

Nikahisi huyu ni choko nikalipotezea kumbe aliona nilipost kule facebook business groups issue za kuweka matangazo ya biashara nikashangaa watssap messeji zinaingia balaa na mapicha ametuma picha kama saba hivi akiwa uchi nyingine akiwa na mapozi ya ajabu ajabu nilimtukana hakuelewa nilichokifanya nikaenda kuchek facebook profile picture yake nikaona comment ya mtu niliyehisi ni dada yake kumbe ni dada yake kweli nilichokifanya ni kumtumia dadake picha zote na messeji za huyo chaliii ni nikamwambia amuonye huyo choko la sivyo nitamvunja shingo.

Cha ajabu wakuu yule dada amejibu mchana huu eti anasema anashangaa na ameshtuka kwani alikua hajui kuwa mdogo wake ni punga
Nifanyeje hawa viumbe waache kunifata inbox cha ajabu sina ukaribu na mapunga nasema hivi kwasababu huu mwaka ni mara ya pili nikitongozwa na punga mwanzo aliyekuja ilibidi nimtishe kabisa kuwa nitampeleka polisi ndo akaacha.

Hii ni balaa tupu kama mnakumbuka uzi wangu ilivyotokea arusha basi mtaelewa. Be careful mnaotumia hususan facebook ni majanga matupu halafu huyo chalii ukimuona ni kijana mwenye heshima zake na maisha mazuri kimuonekano unaweza usidhani ni choko. Hawa viumbe wanazidi kwa kasi ya ajabu sana....wakuu hii ndo imenitokea kutongozwa na choko.
 
Hata mimi last year imenikuta jamaa smart kweli yani miwani yani nikajua mtu flani ana heshima zake, basi akanitext tukachat tu kawaida lahaula akaniambia nikuulize kitu bro nikamwambia haina shida uliza. Doo akauliza sorry unaweza kuni-fi-ra daah nikajisikia vibaya wala sikuijibu nikaenda sehemu ya block nikatia kufuli.
 
Hata mimi last year imenikuta jamaa smart kweli yani miwani yani nikajua mtu flani ana heshima zake, basi akanitext tukachat tu kawaida lahaula akaniambia nikuulize kitu bro nikamwambia haina shida uliza. Doo akauliza sorry unaweza kuni-fi-ra daah nikajisikia vibaya wala sikuijibu nikaenda sehemu ya block nikatia kufuli.
Yaani huyo jamaa ukiambiwa ni choko utakataa
 
Nipo zangu facebook juzi kwanza nikaona messeji inbox inaanza na "hi" kucheki nikaijibu baada ya muda huyo mtu akatuma friend request nikaona ni rafiki tu kama marafiki wengine nimechat nae anaanza kuniita " my" nikamuuliza we chalii una maana gani akasema oooh hakuna shida nikahisi huyu ni choko nikalipotezea kumbe aliona nilipost kule facebook business groups
Tuma picha mkuu tusithibitishe
 
Nifanyeje hawa viumbe waache kunifata inbox cha ajabu sina ukaribu na mapunga nasema hivi kwasababu huu mwaka ni mara ya pili nikitongozwa na punga mwanzo aliyekuja ilibidi nimtishe kabisa kuwa nitampeleka polisi ndo akaacha
Allen kilewella aliwahi uliza "Je marekani wakichagua Rais shoga tutaacha kushirikiana nao!?"..
Tubaki zuia hii tabia kwa watu wetu wa karibu lakini kazi ya kuhukumu tumuachie Mungu.
 
Mimi nimetongozwa sana na mashoga nakumbuka Kenya Ngong hills kuna mwenyeji wangu sikujua ni shoga wakati tumekaa aliibinya mb... yangu,halafu akanitamkia. mifano ming tu

Ila nilichogundua humu JF wameanza mbinu za kuwapata mabasha, kwa nyuzi za ki aina. wako so desparate kutupata sisi ma handsome ambao tupo straight wanabuni mbinu mbali mbali

Thread zozote zinzohusu ushoga MODS hazifai futilia mbali.
 
Ushoga ulishaanza kuhalalishwa hapa Tz tangu ile kampeni ya mwenye wananchi wake hapo Dar... Na sasa wameamia kwenye mitandao tena kwa kasi ya ajabu sana...

Kiukweli inasikitisha sana kuona mwanaume anaingiliwa kimapenzi na mwanaume mwenzake...
Laana iwe juu yao wote wenye kujihusisha na mambo hayo
 
Kwa kweli..au tunavyobeba mimba wanaonaga tunafaiidi
Ninyi nanyi mmezidisha maringo. Tukiwatokea mnataka thick wallet. Sasa huku tunatongozwa tukamkune mtu na mahela juu. Kina dada badilikeni haraka au soko lenu litachukuliwa na haya makitu hovyo. Wadhani nikija kwako nataka mtoto au kupunguza stress tu
 
Miaka kama mitatu imepita niliona dem mzuuuri badoo nikamuibukia inbox na tukaelewana fresh kabisa. Siku ya kukutana akaniuliza NIKIJA WAHUDUMU WA LODGE HAWATAMIND? dadeq nikaingiwa na mashaka. Nikamuuliza ni nini unauliza/unamashaka nacho mbona sijakusoma!? Bila aibu akajibu ULIJUA MIMI DEM AU!? wakati nachat nae badoo hadi watsap swaga kama dem plus profile yake ni picha ya dem, Aisee ile siku nilihisi kumekua giza ghafla mana nilikasirika hadi macho yakawa hayaoni vizuri.

NB. Haya mapimbi yapo mkuu tena wengi sana.
 
Back
Top Bottom