Ushawahi kukutana nayo hii Facebook au mtandao wowote wa kijamii?

southernboy

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
829
1,025

 

Attachments

  • Screenshot_20230112-125530_Messenger%20Lite.jpg
    Screenshot_20230112-125530_Messenger%20Lite.jpg
    21 KB · Views: 22
Duh
Dadeq wallah
😂😂😂😂

Kirahisi hivyo anaomba afukumi?
Hata haya kidogo hana? Hawezi kuwa wa kike huyo.
 
Hizo Mambo zipo kibao humu huko fb ndio kabisa ni hatari!!, Yaani kidemu unaanzisha nacho chatingi ndani ya dk 2 kishakuomba vocha, Mara hela ya umeme, hela ya kula eti hakijala dah..... Life gumu sana..
 
Dume jinga hilo halioni hata haya kutumia picha ya mwanamke kutapeli watu mwisho wao hua ni kupakwa mafuta ya mchikichi wengine wanaita mawese na kupakuliwa,
 
Back
Top Bottom