Je, ulishawahi kukutana na hii hali?

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
409
589
Habari za muda huu,ndugu zangu simba fans tujipe pole najua Wengi haijawaumiza kihivyo sabu kushinda mbele ya yanga hii ilivyo sasa lilikua jambo la kubahatisha..all in all timu imecheza vizuri,makosa ya mchezo wa mpira ndo yameamua mechi.

Twende Kwenye mada:

Kwenye Maisha yako ushawahi kugombaniwa na Watu muda wanakushauri juu ya jambo fulani...hii inachekesha kidogo ila pia inafikirisha

Nilienda kituo fulani kupata huduma Bahati nilipofika nkakutana na wahudumu nliowahi kukutana nao kwenye serious case.

Kidaftari cha record zangu za matibabu zinacase zinazofanana ikabd wanikalishe ushauri,walianza vizuri tu kwa kupokezana.

Mhudumu1&2 na mimi,tulipokezana vizuri nilipoulizwa nilijibu na pakujieleza nilijieleza..Lakini kadri muda ulivyozidi kila Wales wahudumu kila Mojave walijikuta wanaongea kila mtu akishauri lake..nilitaman kucheka ila nilikaza macho nakayaelekeza mbele kidogo ila nkiwa nimetazama chinii.

At the end waliona kama Hawako saw,Mmoja akaniomba Siku fulani Nifike ili aseme zaidi na mimi.

Je, ushawahi kukutana na hali kama niliyopitia mimi na je ni kwanini hutokea hivyo?
 
Wahudumu wa wapi hao wanaojali mteja? Maana Tz ni janga linapokuja suala la huduma nzuri kwa mteja! Hapa watoa huduma wako makini, mteja hayuko makini!
 
Wengine tunagombaniwa vilabuni

We mwangalutila njoo huku..ya leo imehata ...na mwengine nae amekushika shati ..Be uhuse bao ..

Ni tafrani aisee!
Kama vilabu vya msafiri pachafu mara uyu wuse uwonze ikihambule kilamwike.... Mwingine gese i komoni iyi... Mara wuse amacholo makali ga bure hela ulalevela i lipesa... Ila ngatulila uwulasi na musapulo gunya fitofu na simbilisi munono be..
 
Mara nyingi sana kwenye meza za wauza simu kkoo.tena wakike mpaka unakonyezwa.

Wewe hujagombaniwa bana.nenda kkoo.
 
sasa na mimi ninayegombaniwa na makoda stendi inakuaje? sister hii arusha dar ya sasa hivi mwengine kaja ya tanga dar ipo tena unapitia bagamoyo chap tu hapo hujakaa sawa vipi mamdogo unaenda halaf kunaye anajitolea kukubebea na kibegi asijue unapokwenda
 
Back
Top Bottom