kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,258
- 14,951
Habari wakuu....
Ninae rafiki yangu wa karibu (tunafanya kazi pamoja)
Ana mahusiano na dada mmoja kwa muda sasa
Na wameshafanya mambo kadhaa pamoja...
Changamoto ni kua huyu jamaa yangu anaemdogo wake
Mdogo wake nae anamtongoza huyu dada bila ya kujua kama kaka yake ndio usingizi wake..
Je afanye nini ili aendelee kutengeneza mahusiano mazuri baina ya ndugu na mdogo wake?
Au njia gani itumike kumuelewesha mdogo mtu bila ya kutengeneza chuki
Na je nani wakumuambia mdogo mtu juu ya uhusiano hu?