USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

21 JuLy

Senior Member
Aug 16, 2014
126
257
Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la kuengesha magari kwa kulipia au tutafute mwekezaji wa kiwanda kama ilivyo kawaida yetu.
 
Gari zinaingia stand haijalishi inaanzia wapi lazima iingie stand ilipe ela wanaoshuka washuke ndipo iendelee na safari. Inasaidia raia wanaoishi huko na mizigo kuwasogeza mimi napongeza wamiliki wa mabasi waendelee kwa mwendo huo huo
 
lw

kwahiyo matakwa yako ni yapi?
 
Mbona utaratibu mzuri tu! Mabasi yote yanayoingia Dar na kutoka yanapita pale shida iko wapi? Ulitaka abiria wa Ubungo, Kinondoni, Ilala washukie Mbezi halafu waendeje makwao?
 
Gari zinaingia stand haijalishi inaanzia wapi lazima iingie stand ilipe ela wanaoshuka washuke ndipo iendelee na safari. Inasaidia raia wanaoishi huko na mizigo kuwasogeza mimi napongeza wamiliki wa mabasi waendelee kwa mwendo huo huo
Mzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.
Swala la abiri ni utaratibu na mpangilio tu, watu watafata, thus why ujaona ndege na treni kwenye makazi ya watu, na abiria wanafata usafiri ulipo.

Sasa sababu za msingi za kuhamisha stand ya mabus ubungo ilikua ni nini?
 
Mbona utaratibu mzuri tu! Mabasi yote yanayoingia Dar na kutoka yanapita pale shida iko wapi? Ulitaka abiria wa Ubungo, Kinondoni, Ilala washukie Mbezi halafu waendeje makwao?
Mzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.
Swala la abiri ni utaratibu na mpangilio tu, watu watafata, thus why ujaona ndege na treni kwenye makazi ya watu, na abiria wanafata usafiri ulipo.

Sasa sababu za msingi za kuhamisha stand ya mabus ubungo ilikua ni nini?
 
Mzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.
Swala la abiri ni utaratibu na mpangilio tu, watu watafata, thus why ujaona ndege na treni kwenye makazi ya watu, na abiria wanafata usafiri ulipo.

Sasa sababu za msingi za kuhamisha stand ya mabus ubungo ilikua ni nini?
So basi linaenda mbangara au linaanzia mbagara lisiwabebe abiria liwaache magufuli. Mbona unataka kuleta solution ya serikali ile ya watu wanachanganya petroli na.mafta ya taa, serikali ikaja na soln mafta ya taa yawe bei ghali kuliko petroli wakat wanaotumia mafta ya taa zaidi ni wenye kipato cha chini
 
Mzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.
Swala la abiri ni utaratibu na mpangilio tu, watu watafata, thus why ujaona ndege na treni kwenye makazi ya watu, na abiria wanafata usafiri ulipo.

Sasa sababu za msingi za kuhamisha stand ya mabus ubungo ilikua ni nini?
Ubungo palihamishwa kwa sababu palipatiwa matumizi mengine! Pale sasa hivi wanajenga business park. Hivi ulishashuhudia usumbufu uliopo kama abiria wote wangeshukia Mbezi?
 
Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la kuengesha magari kwa kulipia au tutafute mwekezaji wa kiwanda kama ilivyo kawaida yetu.
Kinachokusumbua wewe ni
1. Roho mbaya
2. Maujinga ya Legacy

Kodi au tozo zote zinalipwa kama kawaida maana mabasi yanaingia kila yatokapo na yaingiapo Dar. Kuna ubaya gani abiria anaekaa kigamboni anatoka kigoma na basi linashusha magufuli kisha linaenda kulala kigamboni akaenda nalo? Au unataka huyu abiria akodi tax kutoka kigamboni kwenda kulipandia basi magufuli ambalo nalo lililala kigamboni na kuanzia safari pale?

Jifunze kuwa flexible na kuendana na hali halisi. Epuka kukaririshwa maishu hata kama hayana tija
 
Unachoongea hakiendani na uhalisia, iasue sio kupanda na kushukia.
Urafiki na shekilango imegeuzwa stand kwa sasa. Umefika hayo maeneo hivi karibuni?

Stand kubwa ya mbezi haikujenga kwa lengo la kupanda na kushuka tu, ndio maana pale kuna investment za kutosha na vile vile kupelekwa stand nje ya mji ni kupunguza msongamano katikati ya mji.

Kuhusu abiria ni kuweka utaratibu tu ndio maana pale mbezi kuna usafiri masaa 24 watu kuelekea maeneo wanayoishi.

Hata ndege wana office zao na abiria wanaanzia huko wanachukuliwa na gari zao ndogo hadi airport
 
Ubungo palihamishwa kwa sababu palipatiwa matumizi mengine! Pale sasa hivi wanajenga business park. Hivi ulishashuhudia usumbufu uliopo kama abiria wote wangeshukia Mbezi?
Hapana, matumizi yalikuja baada ya kuhamishwa stand ndio maana wazo la kwanza ilitakiwa iwe stand kubwa ya Mwendokasi badae ikapatikana hiyo business park.

Sababu kubwa ilikua kupunguza msongamano katikati ya mji ambao now umejirudia shekilango tena bila mpangilio.

Hakuna maisha bila utaribu ndio maana nyumbani kwako umeweka utaratibu wako.
 
Bus zote zina ratiba ya kupandia popote pale linapoanzia huko linapolala na ratiba ya kutoka Magfuli stand huna hoja roho mbaya...
mabasi yote yalazimishwe kuingia pale na yatoe tozo ya pale. stand imejengwa kwa garama kubwa na imetuheshimisha sana hata nje ya nchi halafu muitelekeze tena?
 
Back
Top Bottom