Ushauri kuoa mwanamke aliyekuzidi umri

Unaweza Kuoa mwanamke anae kuzidi miaka 5?
Mapenzi hayana formula,

Unaweza ukamuoa uliyemzidi miaka 5 akawa pasua kichwa, hana heshima, mgegedo hatoi nk


pia unaweza ukaoa aliyekuzidi miaka 5 akawa yupo vizuri na ukaenjoy


Kinyume pia unawezana


Kikubwa, make sure unaoa mtu sahihi na sio umri au kingime
 
Bongo ndio ishu, ila ulaya kitu cha kawaida sana..,wachezaji na wasani wengi sana wameoa wanawake waliowazidi umri.
Ukianzia kwa legend Zidan mwenyewe!
 
Kama mnapendana na mmeridhiana oa, kikubwa unawnjoy penzi na anakuheshimu kama mme.
 
Back
Top Bottom