The thinker27
Senior Member
- Sep 15, 2023
- 125
- 131
- Thread starter
- #21
nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako wenye kujenga mungu akubarikiThe thinker27
1.Muda wa kukata rufaa ukifika wewe kata rufaa , mwaka jana ilitokea maajabu karibia first year wote ambao wamepata kiasi kidogo cha Fedha(sio wale waliokosa kabisa)na kukata waliokata rufaa walipata tena 100% wale waliokata tamaa na kutokata rufaa wakajutia baadae.Muda ukifika jaribu kuwa kuwa hata ukikosa kiasi cha mwanzo kinabaki hivyo hivyo.
2. Panga mikakati mapema ya kujikwamua kama ukikosa na rufaa ,kwa kuomba ndugu wakuwezeshe nk.