Unayesema tusiabudi MIZIMU hawa mnaoabudu nyie sio mizimu?

Habari,

Africa tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa, wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu, mara mizimu inaleta nuksi, mara watu wamefungwa na mizimu ya kwao.

Nauliza hivi huyo YESU SIO MZIMU?

MAMA MARIA SIO MZIMU?

WATAKATIFU TUNAWAOMBA WATUOMBEE SIO MIZIMU?

ETI MTAKATIFU AGUSTINO NA WENGINE KIBAO SIO MIZIMU?

Nipeni jibu langu hapa hapa
Ndio maana huwa tunasema kuna Mungu mmoja tu na hana mshirika na Mtume Muhammad SAW ni Mtume wake.
 
Habari,

Africa tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa, wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu, mara mizimu inaleta nuksi, mara watu wamefungwa na mizimu ya kwao.

Nauliza hivi huyo YESU SIO MZIMU?

MAMA MARIA SIO MZIMU?

WATAKATIFU TUNAWAOMBA WATUOMBEE SIO MIZIMU?

ETI MTAKATIFU AGUSTINO NA WENGINE KIBAO SIO MIZIMU?

Nipeni jibu langu hapa hapa
wengine wote ni mizimu isipokuwa Yesu, Mwana wa Mungu
Hao wengine hakuna kitu chochote kimeagizwa tufanye juu yao
 
Dini ya waarabu na wazungu,za hovyo sana,kwamwe usiache kuwakumbuka na kuenzi wazee wako,

Utakuta lipumbafu limoja watoto wake limeita majina ya wazungu na waarabu,pumbafu kabisa,hivi ulishawahi enda uarabuni au uzunguni ukakuta wanaita watoto wao majina ya kimakonde?
Eti we mjita na Mluri wa Tarime unazaa kwani unamuita sijui, Abdulswamadu, Nasrudin, Abuu Hamza, Joseph, Christopher,Joshua, ni upuuzi mtupu!!
 
Bahati nzuri ukristo hata hulazimishwi kuufuata...
Ukishiapigika huko utakimbilia mwenyewe kanisani..
Mambo ya ua toto moja ili ilishe wenzake sio poa.
 
Kwaiyo wewe

Kwamba yesu hakufa??
Kumbuka Bwana Yesu alikufa na akafufuka.!!!! Aliushinda umauti.

Mzimu ni nishati ( energy), AU roho ya mtu ambaye amefariki dunia lakini imekwama katika sehemu iliyo kati ya duniani ( ulimwengu wa nyama/ulimwengu unao onekana ) na mahali ambapo roho hiyo inatakiwa kwenda kuishi baada ya maisha ya hapa duniani kukamilika ( ulimwengu usio onekana/ afterlife/ land of the souls.
 
Hizo roho Wanakwama wapi?
 
Roman Catholic mjoo hapa mlete majibu! Walokole wanaamini Yesu Kristo alifufuka mwili, nafsi, na roho. Hivyo Yesu Kristo sio mzimu kwasababu mizimu miili yao ilioza kaburini! Ki_Kristo mtu akishakufa kumbukumbu lake halipo! Hiyo mizimu ni shetani kachukua sura ya hao watu waliokufa kuwadanganua wanadamu!
Sabato njema
 
Sio kwa macho nachotaka kujua ni hiyo point yako umesema Roho Wanakwama Ndio nataka kupata DARASA zinakwama wapi?
Mkuu unachopaswa kufahamu mara nyingi roho hizi huwa ni roho za watu ambao walikufa katika mazingira yanayo tatanisha kama vile kufa kwa kuuliwa bila sababu ( cold blood), kutolewa kafara, ama kufa baada ya maisha ya msukuleni. Kwa ufupi hizi huwa ni roho za watu ambao walidhulumiwa haki yao ya kuishi hapa duniani.

Baada ya kufuatilia mikasa kadhaa kuhusu watu kutokewa na mizimu, binafsi nilipata ufahamu kidogo kuwa mzimu ni nishati ( energy), AU roho ya mtu ambaye amefariki dunia lakini imekwama sehemu iliyo kati ya duniani ( ulimwengu wa nyama/ulimwengu unao onekana ) na mahali ambapo roho hiyo inatakiwa kwenda kuishi baada ya maisha ya hapa duniani kukamilika

Hivi ndivyo ninavyoamini mimi mkuu,, sijajua kwa upande wa wengine, wakisikia neno mzimu wanaelewa nini???? 🤒😎
 
Kumbuka Bwana Yesu alikufa na akafufuka.!!!! Aliushinda umauti.

Mzimu ni nishati ( energy), AU roho ya mtu ambaye amefariki dunia lakini imekwama katika sehemu iliyo kati ya duniani ( ulimwengu wa nyama/ulimwengu unao onekana ) na mahali ambapo roho hiyo inatakiwa kwenda kuishi baada ya maisha ya hapa duniani kukamilika ( ulimwengu usio onekana/ afterlife/ land of the souls.
mizimu ni majini yanayojifanya marehemu. kifo kinafananishwa na usingizi. ukilala hujui kinachoendelea
msimpe nafasi shetani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom