Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 416
- 1,036
Habari,
Afrika tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa, wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu, mara mizimu inaleta nuksi, mara watu wamefungwa na mizimu ya kwao.
Nauliza hivi huyo YESU SIO MZIMU?
MAMA MARIA SIO MZIMU?
WATAKATIFU TUNAWAOMBA WATUOMBEE SIO MIZIMU?
ETI MTAKATIFU AGUSTINO NA WENGINE KIBAO SIO MIZIMU?
Nipeni jibu langu hapa hapa