Unajua wanaobeba madawa tumboni wanaingiziwa kinyume na maumbile?

Nimemshangaa mleta mada mbona anaongea vingine mana wakimeza kuna dawa wanakunywa ili waharishe ili iwe rahisi kutoa mzigo
Watu kama hao tukiwapinga KUNA watu wanatoa mapovu humu,, hivi INAKUWAJE unaleta kitu hukijuwi?
 
Kama kitu Hujuwi,,, usilete UZI WA UPUUZI,, uliza uelezwe,,, kwa bahati nzr,,, nimepita kote HUKO,, hunidanganyi kitu,,, UZI WA KIPUUZI KABISA,,, ukiona mtu anakwambiya akuweke KETE KWA NYUMA,, elewa anataka kukulawiti,, lakini hakuna kinachomezwa kwa nyuma,, meza MDOMONI,,, safari ya week mzima njiani,, tena kwa bus,,, kila masaa 24 KETE zinatoka,, unaosha unameza TENA unaendelea na safari,,, hadi unafika safari YAKO... kama unawekwa matakoni wakati huo upo safarini unawekwa na nani? Lakini nivizuri upotoshe watu,, wasijuwe move za watu...
 
Mleta mada huo ndo ukweli ila wazungu wenyewe huwa wanazugs wanameza na mshikaji alikuwa ana meza kitu hizo akikaa chini akiinuka anakuta kuna doa LA damu baadae akastuka akawa haji maskani nasi tukakausha now anaishi Brazil anaendelea na ishu zake.
Huyo mshikaji wako mtoka maji ya matakoni atakuwa na michezo yake MINGINE anafanya,, lakini sio kubeba madawa,, WACHENI kupakazia shughuli za wa watu,, kama Hujuwi kitu Kaa kimya,,,
 
Kama kitu Hujuwi,,, usilete UZI WA UPUUZI,, uliza uelezwe,,, kwa bahati nzr,,, nimepita kote HUKO,, hunidanganyi kitu,,, UZI WA KIPUUZI KABISA,,, ukiona mtu anakwambiya akuweke KETE KWA NYUMA,, elewa anataka kukulawiti,, lakini hakuna kinachomezwa kwa nyuma,, meza MDOMONI,,, safari ya week mzima njiani,, tena kwa bus,,, kila masaa 24 KETE zinatoka,, unaosha unameza TENA unaendelea na safari,,, hadi unafika safari YAKO... kama unawekwa matakoni wakati huo upo safarini unawekwa na nani? Lakini nivizuri upotoshe watu,, wasijuwe move za watu...
Jamaa kazingua tena kwa confidence kabisa wakati sie tumezaliwa ,tumekulia mitaa kuna wazungu waunga tumecheza na watoto wa wazungu wa unga na punda

Na wakati wanameza hupewa msosi mgumu sana sana ugali na nyama ya mishikaki inakuwa aidha baada ya kumeza au kabla hapa sina uhakika ili wasiende choo mapema na wasisikie njaa

Na wakifika hipewa msosi mwingine na baada ya nusu SAA wanakunya

Mtoa thread fix sana
 
Nyamaza wewe hujui lolote kuhusu hereoin na cocaine hizo pipi zinamezwa kama vile chakula kinavomezwa wanaongiza madawa mkndn ni wafungwa gerezani tena vijipis vya bange tu huo mknd ubebe ndoga 100 ambto kila moja iko kama mbilimbi utakuwaa mknd aina gani?? HIDE MY ID PLS!!
Unahide vipi ID kaka ???? by the way hii ID si ni feki????
 
Hawataki siri ijulikane...halafu mapunda wana roho mbaya kinoma, akiona we life umetusua bila hizo ishu na ni rafiki yako anaweza hata kukuchoma kwa majambazi wakuue!

Asee nimeshuhudia!
mkuu mtu mpka anakuwa punda usifnye masihara ujue..kujilipua sio kitu cha mchezo mtu anabeba sumu tumboni pasipo kujali uhai wake then washangaa akiwa na roho mbaya..hawa watu nihatari mnooo
 
Kama kitu Hujuwi,,, usilete UZI WA UPUUZI,, uliza uelezwe,,, kwa bahati nzr,,, nimepita kote HUKO,, hunidanganyi kitu,,, UZI WA KIPUUZI KABISA,,, ukiona mtu anakwambiya akuweke KETE KWA NYUMA,, elewa anataka kukulawiti,, lakini hakuna kinachomezwa kwa nyuma,, meza MDOMONI,,, safari ya week mzima njiani,, tena kwa bus,,, kila masaa 24 KETE zinatoka,, unaosha unameza TENA unaendelea na safari,,, hadi unafika safari YAKO... kama unawekwa matakoni wakati huo upo safarini unawekwa na nani? Lakini nivizuri upotoshe watu,, wasijuwe move za watu...
aiseeeee hii hatari mnoooo yaani mavi yako unayanya kisha wayameza tena ..nyie watu shikamooo
 
Jamaa kazingua tena kwa confidence kabisa wakati sie tumezaliwa ,tumekulia mitaa kuna wazungu waunga tumecheza na watoto wa wazungu wa unga na punda

Na wakati wanameza hupewa msosi mgumu sana sana ugali na nyama ya mishikaki inakuwa aidha baada ya kumeza au kabla hapa sina uhakika ili wasiende choo mapema na wasisikie njaa

Na wakifika hipewa msosi mwingine na baada ya nusu SAA wanakunya

Mtoa thread fix sana
Mkuu,, kabla ya kuwa melini,, nilikaa inchi nyingi za madawa,ikiwemo PAKISTAN,, INDIA,, IRAN,, na najuwa vingi tu...Unapobeba madawa ADUI MKUBWA wa TUMBO ni Kuharisha,, so unakula CHAKULA Kisicho cha mchuzi,, au Kisicho na mafuta mengi.. Mfano wali, nyama choma,, au nyama iliyochemshwa,, tena ni 3 hours kabla hujaanza kumeza,,, epuka kunywa juice,, au maziwa,, au chai,, au soup ya moto,, au chakula cha moto,, wakati wa safari, kunywa soda tena Pepsi au cocacola wakati wa kumeza au ukiwa safarini kuepuka Kuharisha,,MAJI yanaruhusiwa kunywa hayana shida,, meza flagili au Dawa za kuzuia Kuharisha baada ya kumaliza kumeza MZIGO, ,,, na wengine hunusa kabisa kuzuia maumivu ya tumbo... Ukiwa njiani....
 
Tena sometimes hakuna maji.. Unafuta na majani unameza unasepa,, jamaa ni zaidi ya roho ngumu,, tena.,, MZIGO uliomezwa na kutemwa ni mwepesi kumeza tena kuliko mzigo mpya..
aiseeee umenimaliza kabisaaa...hiyo kweli nizaidi ya roho mbaya..sasa hawapati kipindu pindu ??
 
Najua wengi watamshangaa hili labda kukujuza tu kama ndugu yako anakamatwa na madawa tumboni na kwamba maumbile yake ya nyuma yako salama tena nahisi mnanielewa zaidi madawa yale hayafanyiwi operation na kuingia bali hupitishwa sehemu za kutolea haja kubwa.

Sehemu zile kabla hazijaingizwa humiminiwa dawa moja ambayo inapoingia hufanya mtanuko wa sehemu zile na hivyo kufanya urahisi wa mbebaji kuingiza kete nyingi zaidi bila kusikia maumivu.

Masharti mojawapo ni kutokula kabisa vyakula vya moto ama chai ya moto kwenye ndege zoezi hili huambatana na ulaji wa biskuits na soda ya uvuguvugu.

Ndio maana wanapotoka nje ama kuingia uwanjani wanapohisiwa wanapewa uji mmoja wa moto mtakatifu uji ule hufwatana na mharisho wa haja kama umebeba madawa basi zoezi hilo linamalizika baada ya dk tano.

Nakuasa unaposikia nduguyo akikueleza hoja ya kubeba mzigo wa madawa basi kama ni mwanaume ujue maumbile yake ya nyuma kwishine kabisa.

Adha ya dawa zile zikimiminwa hakuna uwezekano tena kurudi alivyokuwa.

Maombi yangu kwa Mola watanzania tukimbie laana hii haina tofauti na kuingiliwa kinyume na maumbile.
Mola awaepushe vijana wetu
 
Popote zinapo pitia iwe mdomon au mkunduni hao jamaa wanaujasir aisee

Mie siwez hata iweje
Mkuu unapofikiria shida,, na faida utameza tu.... Watu wanameza ZOTE shida... Ukiona mtu kafanikiwa na bado anameza huyo ana matatizo
 
mkuu mtu mpka anakuwa punda usifnye masihara ujue..kujilipua sio kitu cha mchezo mtu anabeba sumu tumboni pasipo kujali uhai wake then washangaa akiwa na roho mbaya..hawa watu nihatari mnooo
Mtu wa UNGA hana roho mbaya kama jambazi,, au JANGILI,, anakuwa ni mtu HANDSOME au pretty girl... Ila wote UJASIRI tu... Kila mtu na kazi YAKE,,
 
Back
Top Bottom