Unajiita mtoto wa mjini unakula milo mitatu na kuvaa hujui

Piga Milo miwili tu, mchana na usiku ,pesa inayobaki jipendezeshe pendezesha nyumba yako/pendezesha unapolala .
 
Ungejua njaa inavyo leta shida nyingi duniani usinge sema hvyo.

Angalia nchi nyingi zilizo endelea kupatikan kwa msosi kukoje.
 
Yan madogo wengine ukipewa pocket money na mshua ukanunua jeans na tshet Moko bas wengine unatuona so watt wa mjini(wakata nyasi)
Dogo tunasomesha wenzio
 
Kwakweli mi napenda kula na bia kuliko kuvaa.
Utoto wa mjini unakusaidia nini kama pesa ya kula inakupiga chenga!! Watoto wa mjini wanakula vyedi mpaka watu hujiuliza huyu anafanya ishu gani.

Watoto wa chuo ndo hawali ili wapendeze, matokeo yake huishia kukondeana mno.
 
Chemsha nguo unywe supu dogo utakonda uonekane kama shati lililotupiwa msalabani!
Shauri yako
 
Kwakweli mi napenda kula na bia kuliko kuvaa.
Utoto wa mjini unakusaidia nini kama pesa ya kula inakupiga chenga!! Watoto wa mjini wanakula vyedi mpaka watu hujiuliza huyu anafanya ishu gani.

Watoto wa chuo ndo hawali ili wapendeze, matokeo yake huishia kukondeana mno.
bora umemuambia.
 
Back
Top Bottom