Unaikumbuka Sound crafters

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,051
9,951
UNAIKUMBUKA SOUNDCRAFTERS?
UNAMKUMBUKA BIZMAN KAMA MWIMBAJI?
UNAMKUMBUKA BIZMAN KAMA PRODYUZA?
UNAMKUMBUKA BIZMAN KWA KITU GANI??
UNAMKUMBUKA ENRICO KWA VINANDA AU KWA KITU GANI??
Nakumbuka alikuwa miongoni mwa vichwa vilivyounda bendi kubwa iliyoitwa INAFRIKA BAND akiwa na wakali kama; Banana Zorro, Bob Rudala na wengineo.

Baada ya hapo akaibukia utayarishaji wa muziki pale Soundcrafters huku akifanya kazi kwa ukaribu na Mack Malick na Henrico.

Hapa namzungumzia BIZMAN na hizi ni ngoma alizoziimba;
1. Ametoroshwa
2. Nipe muda
3. Ningekuwa kwetu ft dada Mishi
4. MABINTI wa Kibongo
5. Naomba, ukinipa mama sitoiba
6. Nauliza
7. Naona aibu kupiga mizinga ft Mack Malick
8. Anza upya
9. Mke wangu
10. Nahisi ft Banana
Kolabo alizoziua Bizman;
1. Tafakari - Fid Q
2. Mama- Fid Q
3. Wanatamani - Solo Thang
4. Juhudi - Chegge
5. Sivainogela - Mike T
6. Ulinizaa ukanikataa - Q Chief
7. Riziki - K Bazil

Ngoma Kali alizozipika akiwa PRODYUZA wa Soundcrafters;
1. Jukumu letu - Mwana Fa ft Prof Jay
2. Chondechonde - Nuruelly ft dada Mishi
3. Hujafa hujaumbika - Solo ft Mack Malick
4. Zamani - Q Chief ft Lady Jay Dee
5. Umaskini wangu - Q Chief
6. Maria - Abby Skills ft Blue, Kiba
7. Selina - Ali com ft dada Mishi
8. Pole kwa safari - Juma Kakere ft dada Mishi

Alipita Bongo Records kwa muda mfupi na kama sijakosea alishiriki kuisuka MUME BWEGE ya BUSHOKE, kama kumbukumbu zangu siyo sahihi, naomba nikumbushwe.

Hapo Soundcrafters, Enrico alitutengenezea madude yafuatayo;
1. U Hali gani - Q Chief
2. Goodbye - Chegge ft Q Chief
3. Wanashindwa lala - Bushoke ft Ramso
4. Kama yule - Q Chief
5. Inabidi wazoee - Q Chief
6. Hatuna kitu - Rich One ft Nature
7. Naja - Squeezer
8. Demu wako - Ali com ft Nuruelly
9. Kisa cha mwanafunzi - Nash Y ft Dully
10. Mungu Yuko bize - Bwana Misosi

Kwa nilipochanganya kazi zilizoandaliwa na Enrico na za Bizman, tukumbushane.

Je ni ngoma gani ambazo Mack Malick alizitengeneza?
Je kwa nini WASANII wa Temeke hawakuenda Soundcrafters kwa wingi?
Nipe mgongo ya BOB HAISA ilitengenezwa na Bizman?
Je zile Zouk za STARA THOMAS zilitengenezwa pale Soundcrafters?
Je TUMEAGIZWA UPENDO ya NURUELLY ilipikwa Soundcrafters?
Je kuna prodyuza mwingine aliyefanya kazi Soundcrafters?
WACHONGA SAUTI AU WATENGENEZA SAUTI WALICRAFT SOUND YA MAANA SANA AMBAYO HAIPO TENA BONGO.

NAJIONA MWENYE BAHATI KUZISIKIA KAZI ZA SOUNDCRAFTERS KATIKA UPYA WAKE KWA KIPINDI KILE.

Luah,
MWANDISHI WA AINA YAKE.

1677587007616.jpeg

1677587021665.jpeg

1677587037824.jpeg
 
View attachment 2532686
View attachment 2532687
View attachment 2532688
Chonde Chonde Ni Ringtone kwa simu akiwa anapiga My wangu.
 
Naja ya Squezeer alitengeneza Allan Mapigo!!
 
Daaah watoto wa juzi kati apa itawauwia vigumu kuelewa
Umenikumbusha kitambo kidogo mkuu ngoja ntarudi kuchangia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom