Moyo wa ukarimu na utaifa utumike........tuache roho mbaya eti tumuache akome.....mods naomba kama mnaweza ipatikane namba ya mpesa au tigo pesa tuanze kutuma pesa kidogo kumsaidia mtz mwenzetu......
Pita kwenye vituo vya daladala na uswazi, waangalie vijana hali zao wanavyoteseka na madawa ya kulevya, utagundua huyu mbwea na mimbwea wenzake walitakiwa mpaka sasa wamenyongwa zamani.
Dah!Kuna wagonjwa wengi wanateseka katika hospitali zetu sijaona juhudi za hivi ili kuokoa maisha yao,leo mpuuzi anaeangamiza vijana wetu eti achangiwe!!Hivi niulize hajanyongwa?
Mkuu peleka hii kitu baraza la utani, lakini kama uko serious mi nasema tuhonge ile gesi yetu ile ya kulee, tuwaulize ndugu zetu wale wanaonaje kujengwa bomba kuelekea south.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.