Kujenga Utajiri wa Kudumu (Generational Wealth)

Apr 5, 2024
13
13
Habari wanajamvi,
Natumaini kuwa tuko salama katika shughuli zetu siku ya leo. Hongera kwa kufanya sehemu yako katika kusukuma gurudumu la maisha na la taifa pia. Nchi hii inakutegemea (endelea kupigana, iko siku).

Leo nimeleta mada ambayo imekuwa ikinisumbua kichwa kwa muda mrefu. Endapo wewe ni kama mimi, na sifa zifuatazo zinakuandama:
  • Unatoka katika familia masikini. Maana yake ni kwamba, wazazi/walezi hawajakupa chochote. Maisha yamekulazimu kupigana wewe kama wewe
  • Umeonewa: Huenda wewe ni mtoto yatima (au mjane/mgane), na baba/mama/mwenza aliporafiki, waliacha vitu vya kukusaidia. Lakini walezi/ndugu/wakwe waliokabidhiwa malezi yako walikula chakula chako chote na kukomba sahani. Maisha yakakurudisha "square one"
  • Ulilelewa vizuri. Lakini ni wazi kabisa kuwa malezi yalikuwa ya kawaida tu. Si unajua tena, tunavyofanyaga mambo yetu kiafrika; (unazaliwa -> unasomeshwa shule msingi -> Sekondari -> Chuo -> Ukaoa -> Ukajenga -> Unanunua gari nk).

    Ukiangalia, mambo yanayokuzunguka na utajiri/mali ulizonazo ni za kawaida tu. Sasa, litokee tu janga (uumwe mwaka mzima bila ya kufanya kazi, au litokee baya lolote), utapoteza yote uliyoyachuma kwa shida na huenda kwa muda pia.
Na mifano mingine mingi.

Sasa, nikatafakari:
  • kwani haiwezekani mimi kama mtanzania, nijenge utajiri wa kudumu?
  • Usionilazimu kufanya kazi ndo niishi?
  • Itakayodumu kwa miaka mingi sana baada ya kifo changu?
  • Kitakachonufaisha kizazi kujacho?

Na katika tafakari, nikapata kanuni chache ambazo wengi waliojenga utajiri wa kudumu wametumia katika kukuza rasilmali zinazozidi urefu wa maisha yao mafupi (wealth that defies the confines of a single generation).

1. Kujenga utajiri wa kudumu huanza na uelewa:
Kitu cha kwanza ni kujitambua na kufahamu mazingira yako, na uwezo wako, na background yako (mahali ulipotoka, na kinachofanyika huko).

Anza kukataa lawama na bahati mbaya. Acha imani ya kuwa kuna mtu/watu fulani wamekufunga ndo maana vitu haviendi. Sawa, kuna wanaokuwazia mabaya, lakini basi usiruhusu kufungwa kiakili. Jijengee dhana kwamba hakuna atakayekukomboa: wewe ni mkombozi na rubani wa maisha yako.

Amua kwamba imetosha: sasa unahitajika kupiga hatua kwenda mbele. Amua kuwa unataka kuwa tofauti na ndugu na jamaa ambao wanaamini kuwa ukoo mzima umelaaniwa.

Kumbuka, umaskini una tiba. Tiba katika elimu (ya vitendo na matokeo). Tiba katika kufanya bidii kazini. Tiba katika kupata the right connections (kuunganika na wenye nguvu na wenye fursa na wenye pesa). Ngoja nipoze hisia kwanza...

2. Unahitajika kuwa na mawazo mapana na ya muda mrefu
Fikiria matokeo ya jitihada zako. Miaka 20 baada ya kifo chako. Watoto wako watakuwa na umri wako na zaidi. Watakuwa na watoto wao. Na watoto wao watafurahia matunda ya neema na fikra mbadala ulowapa watoto wako katika kanuni za kutengeneza pesa na kujenga utajiri wa kweli.

Ila, anza na mawazo. Kabla ya kutafuta pesa, jenga kanuni za fedha na utajiri (financial and wealth management values). Hizi ndo hujenga na kuhifadhi pesa. Kuwajengea watoto tabia ya kusaidiana, sio kupigana (unity and not division).

Katika nyuzi zinazofuata, tutazungumzia:
  • Kanuni za uwekezaji wa akiba (savings), akaunti ya dharura (emergency fund) na mipango ya baadaye
  • Mipango ya muda mrefu kwa ajili ya watoto wako na watoto wao, na vilembwe, na vilemwekeza nk
  • Uwekezaji katika elimu, masoko, nyumba na mashamba (real estate), pamoja na mbinu za kutengeneza na kuhifadhi rasilmali (creating and preserving assets)
  • Kupunguza athari za kodi (maximizing tax benefits) na kuepuka madeni mabaya (bad debt)

Naomba kunywa maji kwanza, ntarejea...
 
Uzi mzuri lakini jitahidi ukamilishe ili lengo la kuwaelimisha wengine litimie.

Uzi ni mzuri lakini jitahidi uukamilishe ili elimu hii iwanufaishe walengwa.
 
Back
Top Bottom