Una Miaka 30+ unafata nini night club?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
558
1,940
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Acha usumbufu!, Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sana night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu.
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Naona wewe unataka kuwalaza njaa watoto wa watu.

Si tulishakubaliana nyie mnachoweza ni kuwachubua tu hlf asbh unampa buku jero ya nauli.

kwanza mlishaacha kulamba lips?
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Hivi, Kwani kwenda night club mwisho umri gani??
 
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.

Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy. Kaa nyumbani fundisha wanao Maths na muandiko

Kama unapenda sn night outs, tafuta kanisa lenye mkesha au msikiti ukamrudie Mungu, umri wako umeenda, wewe ni wakufa muda wowote, waache vijana wafurahie ujana wao bila usumbufu wako mzee mwenzangu
Bila Shaka umepokonywa demu club
 
Back
Top Bottom