UN: Kombora la balestiki la Korea Kaskazini limetumika kushambulia mji wa Kharkiv, Ukraine

LINGWAMBA

JF-Expert Member
Sep 30, 2023
446
1,045

Screenshot_20240501-182701.jpg

Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11.
Katika ripoti yao ya kurasa 32, wachunguzi hao wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wamefikia hitimisho kwamba, mabaki yaliyopatikana kwenye kombora lililotua Kharkiv, Ukraine, mnamo Januari 2, 2024 yametokana na kombora la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11 na ni ukiukaji wa vikwazo vya silaha ilivyowekewa nchi hiyo.

Korea Kaskazini imekuwa chini ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa kwa sababu ya mipango yake ya makombora ya balestiki na ya nyuklia tangu 2006, na hatua hizo zimeimarishwa zaidi kwa miaka kadhaa sasa.

Kwa mujibu wa ripoti ya wataalamu hao, taarifa iliyotolewa na mamlaka ya Ukraine kuhusu mapito ya njia lilikotokea kombora hilo inaonyesha kuwa lilirushwa kutokea ndani ya eneo la ardhi ya Shirikisho la Russia.
Rais Vladimir Putin wa Russia (kulia) na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema, makombora hayo ya balestki aina ya Hwasong-11 yalijaribiwa hadharani na Pyongyang mnamo mwaka 2019.

Marekani na nchi nyingine za Magharibi zimeituhumu Korea Kaskazini kuwa imeipelekea silaha Russia za kutumia katika vita dhidi ya Ukraine, tuhuma ambazo Moscow na Pyongyang zimezikanusha licha ya kuahidi mwaka jana kuwa zitaimarisha uhusiano wao wa kijeshi.
Katika mkutano wa Baraza la Usalama wa mwezi Februari, Washington iliituhumu Moscow kuwa ilirusha mara zisizopungua tisa makombora ya balistiki ya Korea Kaskazini dhidi ya Ukraine kupitia operesheni maalumu ya kijeshi iliyoanzisha dhidi ya nchi hiyo February 2022.../
 
Wanashangaa North Korea kumpatia Rusia makombora! Wao mbona wanasaidia Ukraine kila aina ya silaha! Iran katoa stones, hata vikwazo vyao si kitu, hata kama mwenyezi Mungu amewajalia maendeleo lakini hawana utu, ni kama hayawani, wanaume wazima wanatetea ushoga na usagaji? Huyo si shetani kabisa? Mataifa yanayojielewa duniani ni Israel, Rusia, China, India, Iran, na Africa.
 
Israel haipaswi kuwepo hapo,hao ndio wakala wakuu wa shetani

Ushoga unapigiwa debe kutoka Tel avivi

Africa hatuna misimamo
 
Hii ni aibu kwa Urusi, anajiita superpower na anaazima silaha.
Hebu tafakari kauli uliyo toa. Mi ndhani we ndo unapaswa kuona aibu kwa kutoshirikisha ubongo wako vizuri katika kujenga hoja.

Hata uwe tajiri wa kiwango gani huwezi kujitosheleza kwa kila kitu. Labda nikukumbushe kidogo hapo mwaka jana west walipungukiwa silaha za kumpa Ukraine, Marekani huyu unaemfahsmu aliomba msaada wa silaha kutoka South Korea, mbona hujasema Ni aibu kwa USA?

Hii ni sawa na kusema ni aibu kwa S.Bakhresa tajiri mkubwa na mimiliki wa viwanda vya vyakula na vinywaji kununua embe kwa mkulima mdogo hapo Morogoro. Kwa akili yako finyu ungetaka Bakhresa mbali ya kumiliki viwanda amiliki pia mashamba ya mazao mbalimbali ili ajitosheleze kila kitu.
 
Yanib
Wanashangaa North Korea kumpatia Rusia makombora! Wao mbona wanasaidia Ukraine kila aina ya silaha! Iran katoa stones, hata vikwazo vyao si kitu, hata kama mwenyezi Mungu amewajalia maendeleo lakini hawana utu, ni kama hayawani, wanaume wazima wanatetea ushoga na usagaji? Huyo si shetani kabisa? Mataifa yanayojielewa duniani ni Israel, Rusia, China, India, Iran, na Africa.
Yani hapa Africa Umeisingizia Hiyo Mijitu haijielewi Kabisa Pumbavu Maskini Viongozi Vilaza Wabinafsi
 
mkuu.
Vitu vingine ni vya ajabu kweli. Yaani wao wanaposombelea silaha huko ukraine toka magharibi na marekani waao wanaona sawa tu.
Russia akipata toka iran korea wanapiga kelele.
Waac

Wanashangaa North Korea kumpatia Rusia makombora! Wao mbona wanasaidia Ukraine kila aina ya silaha! Iran katoa stones, hata vikwazo vyao si kitu, hata kama mwenyezi Mungu amewajalia maendeleo lakini hawana utu, ni kama hayawani, wanaume wazima wanatetea ushoga na usagaji? Huyo si shetani kabisa? Mataifa yanayojielewa duniani ni Israel, Rusia, China, India, Iran, na Africa.
wajinga kama nyiny mpo wengi sana , Ukraine anapewa silaha zinatumika ndan ya nchi yake kujilinda, je ameshambulia jiran yeyote ? Ila Urusi anapewa silaha anatumia ndan ya nchi nyingine , je hii ni sahihi kwa akili zako za makalioni

Hili bara la giza sio la kuishi , lina wehu wengi sana , mtu unaandika sijui kama unafikiria kwa kutumia kinyeo . Jambo jepesi kabisa unataka mpk four figure ikusaidie kuelewa
 
Israel haipaswi kuwepo hapo,hao ndio wakala wakuu wa shetani

Ushoga unapigiwa debe kutoka Tel avivi

Africa hatuna misimamo
Kwamba Tel Aviv wakipigia debe ushoga bas na ww unakuwa shoga

Dah ! hv watu weusi nan amewaroga ?
 
View attachment 2978387

Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11.
Katika ripoti yao ya kurasa 32, wachunguzi hao wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wamefikia hitimisho kwamba, mabaki yaliyopatikana kwenye kombora lililotua Kharkiv, Ukraine, mnamo Januari 2, 2024 yametokana na kombora la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11 na ni ukiukaji wa vikwazo vya silaha ilivyowekewa nchi hiyo.

Korea Kaskazini imekuwa chini ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa kwa sababu ya mipango yake ya makombora ya balestiki na ya nyuklia tangu 2006, na hatua hizo zimeimarishwa zaidi kwa miaka kadhaa sasa.

Kwa mujibu wa ripoti ya wataalamu hao, taarifa iliyotolewa na mamlaka ya Ukraine kuhusu mapito ya njia lilikotokea kombora hilo inaonyesha kuwa lilirushwa kutokea ndani ya eneo la ardhi ya Shirikisho la Russia.
Rais Vladimir Putin wa Russia (kulia) na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema, makombora hayo ya balestki aina ya Hwasong-11 yalijaribiwa hadharani na Pyongyang mnamo mwaka 2019.

Marekani na nchi nyingine za Magharibi zimeituhumu Korea Kaskazini kuwa imeipelekea silaha Russia za kutumia katika vita dhidi ya Ukraine, tuhuma ambazo Moscow na Pyongyang zimezikanusha licha ya kuahidi mwaka jana kuwa zitaimarisha uhusiano wao wa kijeshi.
Katika mkutano wa Baraza la Usalama wa mwezi Februari, Washington iliituhumu Moscow kuwa ilirusha mara zisizopungua tisa makombora ya balistiki ya Korea Kaskazini dhidi ya Ukraine kupitia operesheni maalumu ya kijeshi iliyoanzisha dhidi ya nchi hiyo February 2022.../
Lakini si ajabu kombora la USA kutumika gaza
 
Wao wakipeleka Silaha Huko Israel, Ukraine na kwingineko ni sawa.

N Korea, Iran, Russia, wakipeka silaha nchi nyingine ni kosa! Fu#k the west!
Hizo silaha unapeleka nchi nyingine zinatumika kwa usahihi ? ndio maana mnasaini mikataba bila kuangalia kipengere cha muda , akili zenu zipo makalion
 
Lakini si ajabu kombora la USA kutumika Gaza kupitia Israel wapuuzi Sana hawa
Kwamba Ni sahihi kombola made in Iran kutua Israel kutokea Gaza ila sio sahihi kombora made in USA kutua Gaza kutokea Israel ? Hili bara kwa mara ya kwanza tangu tupate uhuru tumezalisha vilaza wengi weng vyet vya elimu ila kichwan weupe
 
Kwamba Tel Aviv wakipigia debe ushoga bas na ww unakuwa shoga

Dah ! hv watu weusi nan amewaroga ?
Basi wewe mtu mweupe utakua Una shida kichwani

Kwahiyo ni sawa watu wa MUNGU kama mnavowatanabaisha ni sahihi wakiunga USHOGA na kuupigia debe kabisa??

Jitafakari kijana
 
View attachment 2978387

Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2 yanatokana na kombora la balestiki la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11.
Katika ripoti yao ya kurasa 32, wachunguzi hao wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wamefikia hitimisho kwamba, mabaki yaliyopatikana kwenye kombora lililotua Kharkiv, Ukraine, mnamo Januari 2, 2024 yametokana na kombora la Korea Kaskazini aina ya Hwasong-11 na ni ukiukaji wa vikwazo vya silaha ilivyowekewa nchi hiyo.

Korea Kaskazini imekuwa chini ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa kwa sababu ya mipango yake ya makombora ya balestiki na ya nyuklia tangu 2006, na hatua hizo zimeimarishwa zaidi kwa miaka kadhaa sasa.

Kwa mujibu wa ripoti ya wataalamu hao, taarifa iliyotolewa na mamlaka ya Ukraine kuhusu mapito ya njia lilikotokea kombora hilo inaonyesha kuwa lilirushwa kutokea ndani ya eneo la ardhi ya Shirikisho la Russia.
Rais Vladimir Putin wa Russia (kulia) na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema, makombora hayo ya balestki aina ya Hwasong-11 yalijaribiwa hadharani na Pyongyang mnamo mwaka 2019.

Marekani na nchi nyingine za Magharibi zimeituhumu Korea Kaskazini kuwa imeipelekea silaha Russia za kutumia katika vita dhidi ya Ukraine, tuhuma ambazo Moscow na Pyongyang zimezikanusha licha ya kuahidi mwaka jana kuwa zitaimarisha uhusiano wao wa kijeshi.
Katika mkutano wa Baraza la Usalama wa mwezi Februari, Washington iliituhumu Moscow kuwa ilirusha mara zisizopungua tisa makombora ya balistiki ya Korea Kaskazini dhidi ya Ukraine kupitia operesheni maalumu ya kijeshi iliyoanzisha dhidi ya nchi hiyo February 2022.../
USA nchi ya kisenge sana
 
Watume majeshi North Korea basi,si ana silaha za maangamizi.
Mbona Iraq walituma kwa kumuhisi tu anazo.
Huyu anazo kweli waende.
Thubutuuuu Kuna mawili tu urudi mjamzito (bila kujali jinsia Yako) au mwili wako ufanyiwe sublemepenger
 
Back
Top Bottom